Kuna tetesi kuwa mbunge wa jimbo la Mwibara anayetetea nafasi yake kwa tiketi ya ccm mh. Kangi Lugola amewekewa pingamizi ingawa ameshinda kwa kishindo kikubwa sana kura za maoni. kama kuna mtu anayejua kwa undani zaidi atujuze wana jf.
Nakubaliana na wewe ndugu yangu. hawa si majambazi wa kawaida. hawa ni magaidi. kuna jambo nyuma ya pazia. inabidi serikali yetu isilale ili sisi walala hoi tuwe salama.
Kwa hiyo ndugu fugees, waumini hawa wana uwezo wa kufanya ibada kwenye jengo hili maadam mwenye kiwanja hana shida nao chini ya dhehebu b bila kubugudhiwa na na uongozi wa juu wa dhehebu a?
dhehebu a hawakufanya lolote. muumini mwenye kiwanja ndiye ana hata ya kijiji inayomtaja yeye na sio dhehebu a. viongozi wa dhehebu a hawana document yoyote kuhusiana na eneo hilo. je, dhehebu a wana haki kisheria kudai jengo hilo?
Waumimi wa dhehebu A(jina limehifadhiwa) walijenga jengo la ibada kwenye kiwanja cha mmoja wa waumini. imefikia hatua wameamua wote kuhamia dhehebu (b) akiwemo na mwenye kiwanja.
Viongozi wa juu wa dhehebu (a) wanadai kama wamebadili dhehebu watoke kwenye jengo hilo maana ni mali ya dhehebu...
Tokea kipindi cha mjadala wetu wa babu wa Loliondo, nimekuwa kimya sana mpaka leo hii nimeamua kurudi JF. Mnanipokea? Nawakumbuka watu kama miss judith. jamani mpooo?
Tangu jana wapenzi wa mpira tulijua mechi hii inachezwa saa nane kamili. Mpaka sasa hatuoni kinachoendelea. Utachezwa muda gani? Mnisaidie ndugu zangu.
Ukiingia ndani ya basi unaweza ukakutana na maandishi, "abiria chunga mzigo wako". Na katika tiketi pia utakutana na mwandishi hayohayo na wanaongeza kuwa kampuni haitahusika na upotevu wowote wa mzigo. Nauliza, hii kweli ni kazi ya abiria? Vipi juu ya mizigo iliwekwa na konda kwenye buti? Mzigo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.