Recent content by stev30sudi

  1. stev30sudi

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Wakili Robert Amsterdam amejitoa kusimamia kesi za CHADEMA

    Mengi tunayoyaona na yakuwa mengi siku hadi siku
  2. stev30sudi

    JamiiForums Tanzania UMOJA WA WASTAAFU TANZANIA

    RETIREEES ASSOCIATION OF TANZANIA (REAT) 1.Umoja wa Wastaafu Tanzania ni Jumuiya ya kiraia iliyosajiliwa chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi tarehe 14/3/2022 na kupewa Na. ya SA 22924 Makao Makuu ya REAT yako Jijini Dar Es Salaam Wilaya ya Ilala . 2.Ni Umoja kwa Mstaafu yeyote anaepokea...
  3. stev30sudi

    JamiiForums Tanzania Huwa najiuliza mtu wa kwanza kufanya ngono alijuaje kama viungo hivyo vimeumbwa kwa kazi hiyo

    Kadri unavyozidi kujifunza ndivyo unavyogundua kuwa kumbe ulikuwa hujui mengi na utagundua pia kuwa kumbe bado kuna mengi sana ambayo huyajui na kuwa na hamu ya kujifunza zaidi
  4. stev30sudi

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo yangu ya tahasusi mpya ambazo zinaleta tija

    Umeona mbali, hizo ziko vizuri
  5. stev30sudi

    JamiiForums Tanzania MwanaCHADEMA mwenye nia ya kugombea ubunge 2025 kwenye majimbo yafuatayo ni vyema akaachana na huo mpango. Tayari yana wenyewe

    Una maanisha wasiwepo wengine wanaoruhusiwa kuchukua fomu ya kuomba kuwa mgombea?✍️
  6. stev30sudi

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

    Chama cha Wazee Wanaume Tanzania kimezinduliwa rasmi Oktoba 27th, 2023 katika ukumbi wa Kilimani Club Jijini Dodoma
  7. stev30sudi

    JamiiForums Tanzania JWTZ: Daima tutamlinda na kumtii Rais wa JMT na Amiri Jeshi Mkuu

    Tutoe hoja za msingi zenye ushirikishi kwa wote!🤷
  8. stev30sudi

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Tundu Lissu lina hali mbaya, hakuna maendeleo yoyote

    Nawatakieni kheri ya Krismas na Furaha ya mwaka mpya 2018 wanashiriki wa majukwaa yote katika JF na malumbano kwa hoja.
  9. stev30sudi

    JamiiForums Tanzania WASHINDI WA IPHONE 6

    Hiyo nzuri
  10. stev30sudi

    JamiiForums Tanzania WASHINDI WA IPHONE 6

    Naomba msaada wa kujua namna mtu anavyoweza kufuatilia zawadi anapocheza kupitia link > shindaiphone.ml na kupata matokeo ya HONGERA kuwa ameshinda iphone 6. Yeyote anayefamu kuhusu jambo hili naomba anielimishe!
  11. stev30sudi

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa mama Neema. Je, nichukue milioni tano au niache?

    Lakini, ulikusanya ushahidi kwa madhumuni gani?
  12. stev30sudi

    JamiiForums Tanzania Halotel configuration

    Andika SMS: CONFIG tuma kwenda namba 15503, utapokea jibu nawe fuata maelekezo!
  13. stev30sudi

    JamiiForums Tanzania Mikoa ifuatayo UKAWA watapata mafuriko ya kura, na CCM mikoa ifuatayo

    Jibu sahihi ni 2015-KAMILISHA
Back
Top Bottom