king micca
New Member
- Sep 30, 2015
- 2
- 0
Hyo ya kwako
30 november 2015
Hallo....
Username: halotel
APN: b-internet
Then save na uinjoy mb 5000 bure.. Usipoelewa niulize.
Wadau ninaomba mwenye kujua setting za internet za hawa halotel kwenye android phones
tuma neno CONFIG kwenda namba 15503 utapokea hizo setting za internet ya Halotel.
fanya ulete mrejesho
Wameanza kuuza line? Arusha wako wapi?
no line hawajaanza kuuza mpaka watakapozindua me nilipewa kama wakala wao tu.,
kwa arusha unaweza watafuta fb page yao ya Halotel Tanzania ukawatumia sms inbox wakakuelekeza walipo
Wadau ninaomba mwenye kujua setting za internet za hawa halotel kwenye android phones
tuma neno CONFIG kwenda namba 15503 utapokea hizo setting za internet ya Halotel.
fanya ulete mrejesho
tuma neno CONFIG kwenda namba 15503 utapokea hizo setting za internet ya Halotel.
fanya ulete mrejesho
Hallo....
Username: halotel
APN: b-internet
Then save na uinjoy mb 5000 bure.. Usipoelewa niulize.
NAME: HALOTEL
APN: b_internet
Hapo lazima uweke underscore yaani (_) na si dash ionekanyo hapo juu kwenye red.
Inayotakiwa ni hii ya blue nimeweka hapo.