Recent content by STERLING2014

  1. STERLING2014

    Msaada: Namna ya kufanya Docomo s10 Plus kusoma samsung s10 Plus inapowaka badala ya Docomo

    Ndg zangu kama kichwa kinavosoma. Nilinunua simu nikizani ni samsung galaxy s10 plus lkn cha ajabu nakutana na logo ya docomo. Kijapani kibao kwenye simu. Kiukweli inaniboa mno. Nafanyaje kuondoa hiyo ndg wanajamvi
  2. STERLING2014

    Je, vipofu huota ndoto?

    Me nafikiri atakuwa anaota kabsa na anaona simba, nyoka, watu ndotoni anaoishi nao sema tu anashindwa kueleza kwa wengine alichoota kwa kuwa hajui kama anachokiona kinafanana na tunachokiona sisi... Ni kama ww na mimi hv tunauhakika gani kama the way navyomwona simba alivyo ndo unavyomwona ww?
  3. STERLING2014

    Msaada wa Tatizo la speed ya RuNX

    Nashukuru kwa ushauri leo nimspeleka kwa fundi wa umeme wa magari, akatoa waya fulani zinazopeleka mawasiliano kwenye engine icho ki2 akijatokea... Akasema kwa sabb aijatokea ttzo itakuwa ni control box... Na kama ingetokea tena manake ishu ingekuwa gear box
  4. STERLING2014

    Msaada wa Tatizo la speed ya RuNX

    Nina Toyota RunX ya 2006 nilinunua kwa mtu Dar miezi minne iloyopita, niliitumia siku zote bila kujua kama ina ttzo...lkn kuna siku niliiendesha umbali mrefu kwa speed kubwa ikawa inaingiza gia na kutoa ikawa kama inapiga mateke. Inagonga kwenye gia box. Cha ajabu aioneshi taa yoyote kwenye...
  5. STERLING2014

    Hivi Harmonize amejipanga kweli kwa Ibraah Tz?

    Uimbaji wa Ibra tz hauna tofauti na Ibrahnation Sent using Jamii Forums mobile app
  6. STERLING2014

    Msaada: network ya voda kwenye simu yangu ya samsung A20 inasumbua sana

    Vietnam mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  7. STERLING2014

    Msaada: network ya voda kwenye simu yangu ya samsung A20 inasumbua sana

    Mkuu specification hzo Sent using Jamii Forums mobile app
  8. STERLING2014

    Msaada: network ya voda kwenye simu yangu ya samsung A20 inasumbua sana

    Nilivoinunua simu hii ilikuwa poa sana kwenye mtandao hasa nikitumia laini ya voda kama mnavojua ilivona kasi... Lakini nina miezi minne nasumbuka sana na mtandao 1. Mtandao wa internet unaonesha kabsa H+ lkn audownload wala auwezi kusearch kabsa chochote... 2. Pia hata mtandao wa kupiga...
  9. STERLING2014

    Naomba kujuzwa App ya Muziki inayoweza kufanya hivi

    Ingia tanzania tek Sent using Jamii Forums mobile app
  10. STERLING2014

    Wasafi Festival wamewatendea haki Wananchi

    Na hapo kwa inspecta nilitegemea apige Wimbo wake w ASALI WA MOYO
  11. STERLING2014

    Tatizo lolote la PC/device

    Wakuu msaada kama Pc yangu processor ni intel celeron na ram ya 2 gb naweza change Ram iwe 4 Gb
  12. STERLING2014

    Msaada: 0% available plugged in not charging kwa hp 250 g5

    Kabsa mkuu Sasa mkuu naomba msaada betri iyo ni kama Tsh ngapi hv?
  13. STERLING2014

    Msaada: 0% available plugged in not charging kwa hp 250 g5

    Pc yangu Hp 250 g5 niliichaji siku mbili mfululizo... Siku ya tatu nkakuta ina ttzo kukaa na chaji. Yaani nikiondoa tu charger inazima... Umeme tu ukizima na yenyewe inazima Mwenye ujuzi wa namna ya kurekebisha hili ttzo plz anijuze.
  14. STERLING2014

    Utamjuaje mtoto wa kusingiziwa

    Hii inaapply pale ambapo mtoto afani na ww sura... Kama anafanana sura au parts zingine co rahisi mistari ya mikono kifanana... Me nimetisha hii kwani nina watoto wangu wawili atufanano kabsa sura lkn mistari ya mikono yote tunafanana... So hapo na uhakika 100% they are my kids
Back
Top Bottom