Naomba kujuzwa App ya Muziki inayoweza kufanya hivi

mludego

JF-Expert Member
Mar 16, 2013
2,395
3,197
Wanajamvi naomba msaada wenu wa App kwa ajili ya music.

Ni zile zinazoweza kuondoa beat/instrumental na kubakiza vocal peke.

Vile vile zinazoweza kuondoa vocal na kubakiza instrumental.

Kifupi vice versa katika hizo Application.

Uzi tayari.
 
Mtasubiri sana maana hamna namna ya kutoa vocals kwenye muziki ukawa instrumental. Ni nyimbo chache sana inawezekana
 
Hicho kitu kinawezekana kweli? Kwa sababu wimbo ukishakuwa exported inamaana instrumental na vocals zinaunganishwa katika mstari mmoja hivyo ni ngumu kuchambua ni mawimbi gani ya sauti ni ya instuments na yapi ni ya vocals. Ngoja nikae hapa nione. Kama hii app ipo basi itatufaa wengi.
 
Kwa ufupi kutenganisha beat na vocal ni ngumu ispokuwa tu wimbo wakati wa mastering audio, katika chanel 2 zile za stereo yan 2.1, yani L au R moja iwe vocal na upande Mwingine iwe Intrumental lkn kama studio wakati inatengenezwa chanel zote R and L zilibebeshwa vocal na instrumental kwa pamoja katika kila chanel, Sahau kuhusu kuzitenganisha.

Kuna baadhi ya program zina distort quality na kupunguza uwezekano wa kusikika vocal au beat. Ila sio kuzitengenisha
 
Hiyo iliwezekana zamani kwa sasa haiwezekani.
Labda upate beat kutoka kwa mtu aliye fanya Beat Remark kutoka FL studio.
Nenda Youtube search beart remark.
Utakutana na channel za wana walio gusagusa ma biti ya hitsongs kadhaa za mastar mbalimbali kisha i dowload uipendayo.
Lkn App ya simu sahau kbsa huwezi pt.
 
Wanajamvi naomba msaada wenu wa App kwa ajili ya music.

Ni zile zinazoweza kuondoa beat/instrumental na kubakiza vocal peke.

Vile vile zinazoweza kuondoa vocal na kubakiza instrumental.

Kifupi vice versa katika hizo Application.

Uzi tayari.
mkuu, hebu kaijaribu SINGPLAY kama itakufaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom