Msaada: network ya voda kwenye simu yangu ya samsung A20 inasumbua sana

STERLING2014

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
239
72
Nilivoinunua simu hii ilikuwa poa sana kwenye mtandao hasa nikitumia laini ya voda kama mnavojua ilivona kasi...
Lakini nina miezi minne nasumbuka sana na mtandao

1. Mtandao wa internet unaonesha kabsa H+ lkn audownload wala auwezi kusearch kabsa chochote...
2. Pia hata mtandao wa kupiga, kupigiwa na kutuma msg umekuwa ishu sana... Nawezea nkatuma msg... Kuangalia badae nakuta imefel kusend... Au kuzunguka muda mref badae ndo ikasend. Pia naweza piga simu ikakata ikionesha network problem. Nikipigiwa pia wengi awanipati..

Naambulia msg kuwa nlipigiwa na namba fulani. Msaada kwa mwenye kujua namna ya kutatua hili tatizo plz.
Pia nmejaribu kuweka lain hii kwenye simu nyingine mambo yako poa... Hakuna ttzo lolote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia inawezakana ikawa cm yako ni global rom yaani ilikuwa chines version wakaiflash na kuweka global rom ili waiuze na ipate kutumika huko itakapoenda tunaomba upige picha ya screenshot kweny about phone tuone
 
Ni made in wapi mkuu maana hizo cm zinatoka nchi tofaut tofauti kama ni china hiyo ni kawaida ila kama ni india au Germany au Vietnam ni problem tu itakaa sawa
 
Pia inawezakana ikawa cm yako ni global rom yaani ilikuwa chines version wakaiflash na kuweka global rom ili waiuze na ipate kutumika huko itakapoenda tunaomba upige picha ya screenshot kweny about phone tuone
Mkuu specification hzo
20200307_154952.jpeg
Screenshot_20200307-155030_Settings.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HII KITU WATU WANAICHUKULIAGA POA ILA MATOKEO YAKE NDIO UMENUNUA LIJISIMU LINASUMBUA NETWORK...

Si unajua Kuna hizi simu zinauzwa Na Makampuni ya Mawasiliano Mfano Tigo shop?

Ni mara nying sana Tunasikia sijui tigo Anatangaza anauza Tecno mfnao spark 3 n.k n.k kwa promoshen..

Tunajua kbsa tigo hatengenezi simu ila anatoa chip ya sim na huduma zote kutokana na ile chip....

Sasa basi....Kinachotokea Tigo anaingia ubia na Tecno....

Tigo anamsaidia tecno kutangaza simu zake kiurahisi.....Kupitia matangazo yao, wakati huo huo tigo anauza hizo/hio simu kwenye maduka yao kwa bei rahisi zaidi ya Maduka ya kawaida na Anakupa na kifurushi zaidi

Sharti kubwa la tigo analompa tecno ni kwamba....Lazima laini Moja Ifungwe (locked) itumie laini ya Tigo pekeee....
Hii sasa inaitwa CARRIER LOCKED

Sasa sbb Mtu anahitaji urahisi.....
Ameona Atapata hio simu Tigo shop kwa bei rahisi....Pili atapewa na vifurushi vya bure kwa mda flan....Basi naye anaenda kununua simu tigo shop Ambapo Lazima SIM 1 Isome laini ya tigo.....

Sasa ikafika kipnd amechoka kutumia laini ya Tigo kiulazima.....

Anachokifanya anaenda kwa wataalam Ana i UNLOCK ule Mtandao(CARRIER) uliofungwa kwa ulazima.....Kibongo bongo Tunaita Kuflash...
Hili Neno tumelisikia sana hasa miaka ya nyuma kdg
'Nataka ni flash simu yangu Itumie laini zote'

Ku UNLOCK ni kufungua kitu...
CARRIER ni ule mtandao...
Hii sasa ndio CARRIER UNLOCKED sasa...

Hicho ndio kinachotokea Hata huko ulaya/usa n.k

Samsung Anaingia ubia na Makampuni ya simu km Verizon, AT&T, T-Mobile n.k n.k...

Mtumiaji akichoka kutumia ile simu anataka aiuze nje ya USA inabidi aipeleke waka i Unlock ili isome laini zote la sivyo Ndio zile ikija huku simu haisomi laini mpk uipeleke kwa wataalam...

Kwa nini nasema iepuke?
Kwanza Ijulikane kbsa ku flash simu iliyokua imefungwa ni illegal....Hata hao tigo ukiwaambia masuala ya ku flash watakumaind....
Wenzetu ulaya wao wana mda maalumu kutokana na mkataba... ni angalau miaka miwili Ndio unaweza uka i unlock na sheria isikubane

Haiwezekani unitumie mm nikuuzie simu kwa bei chee na kukupa vifurushi vya bure halaf laini yangu huitumii...

Sasa Unapo i flash kuna mawili....
Either Isisome laini kbsa au isome kwa shida...
Kwa ufupi mara nyingi zinazingua network...
NA HIKI NDIO SBB NAKUAMBIA ZIEPUKE...
Unaweza utumie unaona iko poa lkn ukipata simu nyingne km hio hio ambayo ni free utaona utofaut mkubwa...
Wengi washakutana na hili tatzo hasa kpnd kile tunatumia visimu vya vodafone au vile vibatan vya tigo..

UTAJUAJE HII SIMU NI UNLOCKED?
Simple Tu...
simu nyingi zinazokua Locked na mtandao flan...
Zinakua na symbol flan za ule mtandao...
Mfano unakuta imeandikwa tigo juu au nyuma ya simu...
Nyingne ukiiwasha inaakuandikia Vodacom n.k n.k

Kwa zile za US utakua mfano simu imeandikwa au ukiwasha inaandika
VERIZONI, T-MOBILE AU AT&T ukiona hivyo tuu jua Ni unlocked.....

Sasa nying za sikuhz hawaandiki...
Ukiona hivyo njia rahisi ni kusoma Model number...Ambayo inakua nyuma ya simu au ingia ndani kwenye about phone....

kwa Samsung S-series Utaona
Imeandikwa hivi SM-G.... hapo kwenye hivyo vidoti Vinne Ni namba kutokana na simu husika....
Mfano wewe nimekwambia Kwa hela hio Unaweza ukapata S9+ ...
Basi model namba yake PIGA UA
itaanza hivi SM-G965. hicho kidoti cha mwisho sasa namba au herufi itakayomaliziwa hapo ndio muhimu kujua km simu ni Free au Carrier unlocked sasa

Mfano km hio S9+ ilikua locked kwa Mtandao wa Verizoni Utaona imeandikwa hivi
SM-G965V, Kama ni T-Mobile Utaona imeandikwa SM-G965T km ni AT&T utaona
SM-G965A...

Nzuri ambayo haijawa locked.....
Wanaita
Global/international - Model/version..
LAZIMA MWISHO IISHIE NA....F/DS/FD

kwahio Itakuwa hivi
SM-G965F/DS/FD....
Inaweza ikawa chochote kati ya hivyo vitatu.. ila mara nyingi ni F & DS....
Ukiona kwenye hio model Amekuandi DS
Hii inamaanisha hio simu ni Dual Sim(laini mbili)

Kwa samsung Note-series utaona
Imeandikwa hivi SM-N....
Mfano Note 9 Unatakiwa uchukue yenye
SM-N965F/DS

Kwa Samsung Joy a.k.a J-Series Utaona
Imeandikwa hivi SM-J....

Kwa Samsung Alpha a.k.a A-Series utaona
Imeandikwa hivi SM-A....

Hii ni kwa simu zote za samsung hasa matoleo ya miaka hii Global model...
Inatakiwa iishie na ......F/DS

Ila ukipata Model inayoishia na .....0 Au .....U
hizo sio mbaya zinakuwaga vizuri,

Ila sio hayo ma T,V & A.... Japo nazo waweza upate ambayo imekua unlocked vizuri ila PIGA UA jua hio simu ni Used sasa....

Mara nyingi Ukipata Samsung Yenye Laini mbili basi usiwe na shaka ni hii inshu....

ILA ukiona tuu Samsungu Kwa nyuma Chini Imeandikwa jina la Simu......

Mfano Galaxy S6+, Galaxy S7, Galaxy S7 plus,
Galaxy S8+, Galaxy S9+ n.k n.k

Hio kimbia ni Unlocked.....

International model haziandiki Jina kwa nyuma zaidi ya Brand

Inatakiwa uone neno Samsung tuu kwa juu....
Chini labda uone neno DUOS kwa zile za laini mbili au yale maelezo meng kwa maandishi madogo....ambayo yanakua ya model, imei n.k.. Copy & pest
Nilivoinunua simu hii ilikuwa poa sana kwenye mtandao hasa nikitumia laini ya voda kama mnavojua ilivona kasi...
Lakini nina miezi minne nasumbuka sana na mtandao

1. Mtandao wa internet unaonesha kabsa H+ lkn audownload wala auwezi kusearch kabsa chochote...
2. Pia hata mtandao wa kupiga, kupigiwa na kutuma msg umekuwa ishu sana... Nawezea nkatuma msg... Kuangalia badae nakuta imefel kusend... Au kuzunguka muda mref badae ndo ikasend. Pia naweza piga simu ikakata ikionesha network problem. Nikipigiwa pia wengi awanipati..

Naambulia msg kuwa nlipigiwa na namba fulani. Msaada kwa mwenye kujua namna ya kutatua hili tatizo plz.
Pia nmejaribu kuweka lain hii kwenye simu nyingine mambo yako poa... Hakuna ttzo lolote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HII KITU WATU WANAICHUKULIAGA POA ILA MATOKEO YAKE NDIO UMENUNUA LIJISIMU LINASUMBUA NETWORK...

Si unajua Kuna hizi simu zinauzwa Na Makampuni ya Mawasiliano Mfano Tigo shop?

Ni mara nying sana Tunasikia sijui tigo Anatangaza anauza Tecno mfnao spark 3 n.k n.k kwa promoshen..

Tunajua kbsa tigo hatengenezi simu ila anatoa chip ya sim na huduma zote kutokana na ile chip....

Sasa basi....Kinachotokea Tigo anaingia ubia na Tecno....

Tigo anamsaidia tecno kutangaza simu zake kiurahisi.....Kupitia matangazo yao, wakati huo huo tigo anauza hizo/hio simu kwenye maduka yao kwa bei rahisi zaidi ya Maduka ya kawaida na Anakupa na kifurushi zaidi

Sharti kubwa la tigo analompa tecno ni kwamba....Lazima laini Moja Ifungwe (locked) itumie laini ya Tigo pekeee....
Hii sasa inaitwa CARRIER LOCKED

Sasa sbb Mtu anahitaji urahisi.....
Ameona Atapata hio simu Tigo shop kwa bei rahisi....Pili atapewa na vifurushi vya bure kwa mda flan....Basi naye anaenda kununua simu tigo shop Ambapo Lazima SIM 1 Isome laini ya tigo.....

Sasa ikafika kipnd amechoka kutumia laini ya Tigo kiulazima.....

Anachokifanya anaenda kwa wataalam Ana i UNLOCK ule Mtandao(CARRIER) uliofungwa kwa ulazima.....Kibongo bongo Tunaita Kuflash...
Hili Neno tumelisikia sana hasa miaka ya nyuma kdg
'Nataka ni flash simu yangu Itumie laini zote'

Ku UNLOCK ni kufungua kitu...
CARRIER ni ule mtandao...
Hii sasa ndio CARRIER UNLOCKED sasa...

Hicho ndio kinachotokea Hata huko ulaya/usa n.k

Samsung Anaingia ubia na Makampuni ya simu km Verizon, AT&T, T-Mobile n.k n.k...

Mtumiaji akichoka kutumia ile simu anataka aiuze nje ya USA inabidi aipeleke waka i Unlock ili isome laini zote la sivyo Ndio zile ikija huku simu haisomi laini mpk uipeleke kwa wataalam...

Kwa nini nasema iepuke?
Kwanza Ijulikane kbsa ku flash simu iliyokua imefungwa ni illegal....Hata hao tigo ukiwaambia masuala ya ku flash watakumaind....
Wenzetu ulaya wao wana mda maalumu kutokana na mkataba... ni angalau miaka miwili Ndio unaweza uka i unlock na sheria isikubane

Haiwezekani unitumie mm nikuuzie simu kwa bei chee na kukupa vifurushi vya bure halaf laini yangu huitumii...

Sasa Unapo i flash kuna mawili....
Either Isisome laini kbsa au isome kwa shida...
Kwa ufupi mara nyingi zinazingua network...
NA HIKI NDIO SBB NAKUAMBIA ZIEPUKE...
Unaweza utumie unaona iko poa lkn ukipata simu nyingne km hio hio ambayo ni free utaona utofaut mkubwa...
Wengi washakutana na hili tatzo hasa kpnd kile tunatumia visimu vya vodafone au vile vibatan vya tigo..

UTAJUAJE HII SIMU NI UNLOCKED?
Simple Tu...
simu nyingi zinazokua Locked na mtandao flan...
Zinakua na symbol flan za ule mtandao...
Mfano unakuta imeandikwa tigo juu au nyuma ya simu...
Nyingne ukiiwasha inaakuandikia Vodacom n.k n.k

Kwa zile za US utakua mfano simu imeandikwa au ukiwasha inaandika
VERIZONI, T-MOBILE AU AT&T ukiona hivyo tuu jua Ni unlocked.....

Sasa nying za sikuhz hawaandiki...
Ukiona hivyo njia rahisi ni kusoma Model number...Ambayo inakua nyuma ya simu au ingia ndani kwenye about phone....

kwa Samsung S-series Utaona
Imeandikwa hivi SM-G.... hapo kwenye hivyo vidoti Vinne Ni namba kutokana na simu husika....
Mfano wewe nimekwambia Kwa hela hio Unaweza ukapata S9+ ...
Basi model namba yake PIGA UA
itaanza hivi SM-G965. hicho kidoti cha mwisho sasa namba au herufi itakayomaliziwa hapo ndio muhimu kujua km simu ni Free au Carrier unlocked sasa

Mfano km hio S9+ ilikua locked kwa Mtandao wa Verizoni Utaona imeandikwa hivi
SM-G965V, Kama ni T-Mobile Utaona imeandikwa SM-G965T km ni AT&T utaona
SM-G965A...

Nzuri ambayo haijawa locked.....
Wanaita
Global/international - Model/version..
LAZIMA MWISHO IISHIE NA....F/DS/FD

kwahio Itakuwa hivi
SM-G965F/DS/FD....
Inaweza ikawa chochote kati ya hivyo vitatu.. ila mara nyingi ni F & DS....
Ukiona kwenye hio model Amekuandi DS
Hii inamaanisha hio simu ni Dual Sim(laini mbili)

Kwa samsung Note-series utaona
Imeandikwa hivi SM-N....
Mfano Note 9 Unatakiwa uchukue yenye
SM-N965F/DS

Kwa Samsung Joy a.k.a J-Series Utaona
Imeandikwa hivi SM-J....

Kwa Samsung Alpha a.k.a A-Series utaona
Imeandikwa hivi SM-A....

Hii ni kwa simu zote za samsung hasa matoleo ya miaka hii Global model...
Inatakiwa iishie na ......F/DS

Ila ukipata Model inayoishia na .....0 Au .....U
hizo sio mbaya zinakuwaga vizuri,

Ila sio hayo ma T,V & A.... Japo nazo waweza upate ambayo imekua unlocked vizuri ila PIGA UA jua hio simu ni Used sasa....

Mara nyingi Ukipata Samsung Yenye Laini mbili basi usiwe na shaka ni hii inshu....

ILA ukiona tuu Samsungu Kwa nyuma Chini Imeandikwa jina la Simu......

Mfano Galaxy S6+, Galaxy S7, Galaxy S7 plus,
Galaxy S8+, Galaxy S9+ n.k n.k

Hio kimbia ni Unlocked.....

International model haziandiki Jina kwa nyuma zaidi ya Brand

Inatakiwa uone neno Samsung tuu kwa juu....
Chini labda uone neno DUOS kwa zile za laini mbili au yale maelezo meng kwa maandishi madogo....ambayo yanakua ya model, imei n.k.. Copy & pest
Mkuu yangu ni SM-G95ON SUMSUNG GALAX S8 NA nimenunua 750,000 . Inasumbua mtandao kweli inashika 4g na 2g lkn sehemu nilipo kuna 3g tu na haishiki 3g. Nifanye nini ili niweze kushika net kwasababu naishi kigona nimeinunua dodoma kwenda tu kuirudisha inanigarimu laki2 lkn ikishika net mimi natumia tu maana naipenda. Nsaidieni nasikia roho inauma inataka kutoka kwasababu nimejichanga sana

Kigoma ipi hiyo isiyo na 4g!!??
 
Back
Top Bottom