Mtoto asiye wakwako akipiga tu chafya mbele yako huku anakuangalia mbona ujajua tu jomba!



jaman duh
Mkuu unataka kujaribu hii njia??
Achana nayo kwa ushauri wangu lakini, mana kama mkeo/mwenza wako akikukuta sijui utamweleza nini ili aamini kuwa wewe siyo mshirikina






jf raha sanaAcha kudanganya wenzako waingie mkenge... Mtoto haramu ndo anafanana na jamaa huyo, utakua unaon aibu nafsini kila ukimuangalia.. Hiyo case yako labda ni wa jamaa kweli.. Science haidanganyiWanaume bana.......bado hamjazijua akili zetu...... Bado sana.......kwa taarifa yako.....hakuna mtoto anaefanana na baba yake kama mtoto haramu...yaani asie wako ndo mtafanana sana yani kilakitu na mtapendana sana.....naongea kwa ujasiri na ushahidi nnao.
Angalia mikono yake ile mistari iliyokatiza kwenye mkono either wa kulia ama wa kushoto
kwa mtt wako lazma ifanane na ww kama haifanani umepigwa mzee
hiyo ni DNA YA wazee wetu niliipata chimbo
Utakua unamaanisha ile ya kumpiga na Dushe kichwaniKuna njia ya Asili iliwahi kuwekwa humu nyuzi za nyuma,ingawa walitadharisha kuwa sio nzuri kutumia
Ikipekua pekua utaipata
Kwa hiyo ni ngumu sana mkuu
Kuna njia ya kutambua kama mtoto siyo wake...
Kamata fimbo na mtishie kwa jazba kwamba utamtandika haswa mpaka ajute... akitoka nduki na kukimbilia nje ujue huyo siyo mtoto wako...
Akiendelea kubaki hap hapo hata kama analia na kugalagala ila hakimbii popote ujue huyo ni mwanao...
Note: Za kuambiwa chang'anya na za kwako...
Cc: mahondaw
Ila mwanamke anazaaKitanda hakizai haramu
Daaaaaaaaa kumbe Mimi mtoto wa baba 100% ,mama yangu aliyapitia hayaKwa asili ya familia yetu mwanamke akijifungua huwa tunampa likizo ya kwenda kwao ziara fupi kama wiki moja pasipokujua kama tunampima
Kama mtoto ni damu yetu hawez kukaa kwa bibi yake kizaa mama hata siku 3 atawasumbua sana usiku atashinda analia na wakilazimisha anapata hata ugonjwa wa degedege ila siku wakipanga siku ya kurud anapona na mda wapo njian kurud anakuwa sawa...ila kama si wa nyumban akifika hutulia tu! Hii ni kweli ila sio applicable kwa kila mtu
Ninao watatu wote sio wangu basi,wanafanana na mama yao 99.9%Kwa mwanaume ni kufanana aisee, tuache siasa mtoto kama hujafanana nae kwa chochote huyo sio wako 99%
Nmecheka kinomaMcharaze viboko, atakapokimbilia ndo huko huko atokapo.



