Recent content by Stephen64

  1. Stephen64

    JamiiForums Tanzania Kati ya Songea na Singida ni mkoa upi mzuri kwa mtu anaetaka kuishi na kujishuhurisha na ufugaji na kilimo?

    Dah we mjumbe Safi sana umeeleza facts yaani nimependa Binafsi hili suala la kuwekeza katika sekta ya kilimo inakuna sana nilikuwa najiuliza niende wapi nikajichimbie huko hata kama ni kijijini sana mi niko poa kabisa, naanza kupata mwanga na nilifocus sana RUVUMA kulingana na hali ya hewa ya...
  2. Stephen64

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Nataka wimbo ule 'I'll give it all just to be with you again' sijui hata aliimba nani ila naupenda sana...
  3. Stephen64

    JamiiForums Tanzania Simu Janja (Smartphone) 19 bora zinazokaa na chaji muda mrefu

    Bei gani hiyo Lenovo p2
  4. Stephen64

    JamiiForums Tanzania Tembele Bamia na mchicha, kwa lugha ya kiingereza hivi vitu vinaitwaje?

    Wlikuja shamba
  5. Stephen64

    JamiiForums Tanzania Tembele Bamia na mchicha, kwa lugha ya kiingereza hivi vitu vinaitwaje?

    Duh mi nalima tu ila sivijui kwa kiingereza sasa juzi kati hapa wazungu wmenitoa jasho ndiyo nikasema kuna umuhimu wa kuvijua
  6. Stephen64

    JamiiForums Tanzania Tembele Bamia na mchicha, kwa lugha ya kiingereza hivi vitu vinaitwaje?

    [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  7. Stephen64

    JamiiForums Tanzania Tembele Bamia na mchicha, kwa lugha ya kiingereza hivi vitu vinaitwaje?

    Wazee wakulima wenzangu naomba mnisaidie hii kitu
  8. Stephen64

    JamiiForums Tanzania Natafuta pamp ya solar

    Asante mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Stephen64

    JamiiForums Tanzania Natafuta pamp ya solar

    Naomba msaada kwa anaejua zinakopatikana pamp za solar kwaajili ya kuvuta maji kisimani ama hata kwenye mto tafadhali sana Mkulima mdogo
  10. Stephen64

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kujisaidia wakati wa kujamiana

    Mi napata ukakasi kwasababu yangekuwa malaini labda tigo sasa kama magumu seam aliyafil kabisa hata yanatoka, nashindwa kuelewa kwanini hakuwah yeye kuchukua shuka ili msela asijue mapema [emoji135]
  11. Stephen64

    JamiiForums Tanzania Tushirikishane akili za wanawake ambao tunakuwa nao katika mahusiano ya kimapenzi

    Mimi bwana nimeona niache afanye anavyotaka yeye maana kila kitu ninachomuelekeza hafanyi anasema namuona kama hajui na nikimwambia afanye kwavile anajua hafanyi.....nikaoa mwengine na napiga nae kazi za shamba balaa, maendeleo sana tu, and kuna wakati nasikitika kupoteza nae muda yule...
  12. Stephen64

    JamiiForums Tanzania Namna ya kulima na kutunza ufuta mpaka kuvuna.

    Wakuu naombeni msaada kwa mwenye ujuzi wa kilimo cha ufuta garama zake na soko liko vipi. Asanteni sana
  13. Stephen64

    JamiiForums Tanzania Wanaume hasa tukipendwa mara nyingi huwa tunakosea apaa...

    Moyo mashine [emoji23]
  14. Stephen64

    JamiiForums Tanzania Baada ya Malalamiko ya WanaJamiiForums, Rais Magufuli aandika kwa Usahihi kumpongeza Trump

    Mbona hata hii sijaielewa [emoji41]
Back
Top Bottom