Baada ya Malalamiko ya WanaJamiiForums, Rais Magufuli aandika kwa Usahihi kumpongeza Trump

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,224
Nadhani Makada mliokua hamjaona kwenye tweet ya mwanzo mtakua nje kidogo ya JF. Asante Mheshimiwa Rais Magufuli (PhD) kwa Kurekebisha. Kumbe na Wewe unashinda JF kama akina miss chagga Nyani Ngabu Evelyn Salt shunie Valentina

Ilikuwa hivi:
IMG_0510.JPG


Kaifuta na kuiweka hivi:


MARAIS WA AFRICA NA WATU MAARUFU WALIOMPOGEZA TRUMP.




















 
Afadhali kama kweli ni yeye japo bado nina mashaka. Maana ile tweet ya mwanzo ilishatuweka roho juu. Hata hivyo kama mstari mmoja wa pongezi unaweza kukosewa kiasi hicho hadi kufanyiwa masahihisho baada ya kelele za mitandaoni kazi ipo. Ulishawahi kuona mwingine kachemka lakini aibu unai-feel wewe?
 
Nadhani Makada mliokua hamjaona kwenye tweet ya mwanzo mtakua nje kido ya JF. Asante Mheshimiwa Rais kwa Kurekebisha.





Jamani, mbona mnamkandamiza Mh. Rais wangu hivyo..? kaaahh..!!

Ngoja na mm ni RETWEET..!!

Conjrajulation presidenti-electi, and Americani pipo, Tanzanians and me, assure you of friendilly coparation and enjoi ur wisky and ladies todai mr.trump, senki you sana, nitakuja marekani bana, utaniita eeh..!! teh teh.!
 
Kwani maana ya Rais kuwa na wasaidizi ni nini?,kwa nini asingewaelekeza wasaidizi wake wakaandika hizo pongezi kwa ufasaha maana hata hii ya pili nayo bado ni kizungumkuti.
Mimi nashauri wasaidizi wafanye kazi yao hasa linapokuja suala ambalo ni lazima liwe kwa lugha ya malkia.
 
Back
Top Bottom