Recent content by stephanoadolph

  1. stephanoadolph

    Unamwamini vipi aliyeshindwa?

    Kama ata ujui vigezo gani vinatumika ili ukasomee Ualimu, unakuja unakurupuka zero anaenda ualimu.nawasi wasi na wewe either akili huna, mvivu wa kutafuta taarifa, unapenda sifa za kijinga, una chuki na walimu na mwisho kabisa hujitambui ..
  2. stephanoadolph

    Mwalimu aliyetoweka Simiyu akutwa amefariki Musoma

    Siandamane mamako..mbona wewe hali ngumu na huandamani
  3. stephanoadolph

    Yanayojiri kwenye Sakata la Mwalimu kumchapa kikatili Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Wilayani Kyerwa, Kagera

    Kazi ya uwalimu inalawama sana kama utakuwa mtu una jaji kimehemko .nakumbuka kuna kipindi ilikuja staff kesi ya dogo wa darasa la v.wamemlawiti dogo wa chekechea mpka anashindwa kukaa na ushahidi upo..hivi kama wew ni mwalimu unafanya nini kwa haraka haraka.na wewe mzazi jion mwanao anakuja ata...
  4. stephanoadolph

    Walimu, kwanini ni nyie tu kila siku?

    Taja kada ambayo haiburuzwi na wanasiasa
  5. stephanoadolph

    Mapigano yanayoendelea DR Congo kati ya majeshi ya Congo (FARDC) na waasi wa M23

    Ni wazi sasa.Congo waamue kulipigania taifa lao.kagame ni mtu hatari sanaa.ata msumbiji anawatu wake wapo kwa ajili ya amani, lakini wana operation chafu za kubeba mali za watu wa msumbiji..nilitamani ma Rais wote waungane kussuport kuwatoa M.23
  6. stephanoadolph

    Watu wanatumia Akili sana kupata kipato mjini mipango

    Pamoja na njia zote hizo.kuna mtindo hiyo chupa wanayotumia kupimia wameieka kwenye moto kwa mbali..inabadili umbo maeneo ya chini na katikati ..ukitaka kuamini nenda na chupa yako waitumie hiyo kupimia lazma wakatae.siku chupa hizi za maji zinawekwa kwenye moto ili kuzibadili maumbo zinakuwa...
  7. stephanoadolph

    Hasara kubwa mbegu za alizeti (ASA)

    Nadhani jamaa angeeleza alipanda kipindi gani cha hali ya hewa , na je alipanda alizeti pekee au alichanganya na mazao mengine katika eneo moja!Mimi nimetumia mbegu ya ASA na nipo Mtwara nipo navuna.aijafanya vibaya wala so vizuri sana ila nimeona inamwelekeo mzuri..
  8. stephanoadolph

    Mbowe: Halima Mdee na Wenzake waache mambo ya Kihuni

    Mbowe kwenda ikulu juzi ilikuwa na maana kubwa..nionavyo ilikuwa ni kumwambia Rais .chama kinaenda kuwamwaga wale covid waliowekwa na Mwendazake na ndugai.sasa tunaomba sana usije ukazuia hili..na yeye akaambiwa kawambie vijana wako waache kutukana mitandaoni..ndo mana smash ya jana ilikuwa ya...
  9. stephanoadolph

    Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    Kuwa wa kwanza shambani wa mwisho sebleni...Russian qoet
  10. stephanoadolph

    Mtangazaji gani ulimjengea picha tofauti na jinsi alivyo, kuanzia kimuonekano, umri na uvaaji pindi ulipomsikiliza kwa mara ya kwanza radioni

    Daah na kuna mwingine alikuwa anajiita Ezeden the rocker akitangaza asubuhi.Kiss fm ndo redio ambayo kiukweli ilikuwa inawatangazaji wanaovutia kuwaskiliza..De7 na demu mmoja hivi sijui akiitwa nani!
  11. stephanoadolph

    Mtangazaji gani ulimjengea picha tofauti na jinsi alivyo, kuanzia kimuonekano, umri na uvaaji pindi ulipomsikiliza kwa mara ya kwanza radioni

    Yule jamaa akiongea kama demu na anamaneno ya kidemu kabisa.afu ukimcheki ni bonge la mtu, jamaa so bure
  12. stephanoadolph

    Tunauza mizinga na makundi ya nyuki

    Mnauza makundibya nyuki?
  13. stephanoadolph

    Nina wazo la kufanya hii 'project' kwa mwaka 2022

    Mkuu yote hiyo ni mipango mizuri.ukitaka ufanikiwe jibu rahisi na lazma wewe uwe front.habari ya kuambiwa dawa imeisha tuma ela.utakuja kulia vibaya tuulize sisi tuliokuwa huku
  14. stephanoadolph

    Walimu wa Sekondari kusimamia mitihani ya Shule za msingi ni udhalilishaji wa taaluma nchini

    Point yako aina mashiko.kusema sekondari wanakuja wanafunzi wasiojua kusoma na kuandika.serikali ilishatoa mwongozo mwanafunzi asiejua kusoma na kuandika anaruhusiwi kupanda darasa. anafaulu vipi mtihani mtu asiejua kusoma wala kuandika?laumu mfumo wa nchi yako kuhusu elimu.elimu imejaa siasa na...
Back
Top Bottom