Asee kilosa pia wamekopwa mzee hii nchi hii khaaaa!Semina elekezi za NECTA hadi sasa hazina malipo ya semina!!Walim wanakopwa tu hata wakati wa tarehe mbaya kabisa!
Kwa mfano halmashauri ya uyui imefanya semina mbili za necta bila malipo kwa walim!Ile semina ya wataalamu wa maabara na hii ya darasa la nne!
Walimu wanakopwa nauli na hela ya semina elekezi!!!Necta mnajua unyanyasaji huu wa walimu?!!!Naombeni mfuatilie
Utanisamehe kwa kukukwaza.Hivi leo mwalimu mwenye shahada ya elimu sekondari amesomea wapi saikolojia ya kusimamia watoto wa Darasa la nne? Ni ufanisi gani haswa Barasa limelenga kupima?
Sema mnalalamika kwa Sababu mmenyanganywa tonge walimu wa sekondari kusimamia mitihan Yenu ya form four. Ila sekondar s mnasemaga walimu wa PRIMARy wanawaletea wanafunz wasio jua kusoma na kuandika. Pambaneni sasa muwapeleke vipanga tu.Nimeshangazwa na Maamuzi ya Baraza la mitihani NECTA kwa kuridhia usimamizi wa mitihani ya shule za msingi kufanywa na walim wa sekondari. Nadhani huu ni udhalilishaji wa taaluma za watu!
Hivi leo mwalimu mwenye shahada ya elimu sekondari amesomea wapi saikolojia ya kusimamia watoto wa Darasa la nne? Ni ufanisi gani haswa Barasa limelenga kupima? Kulikua na Haja gani ya kuwatumia walimu wa sekondari kwenye kusimamia Darasa la nne na saba!
Pia walim wa msingi kusimamia sekondari sio kuharibu misingi ya taaluma za watu? Mbinu hii haitaleta tija kwenye elimu yetu zaidi ya kuonyesha uvivu wa kufikiri kwa Watendaji wa NECTA.
Nashauri utaratibu wa zamani uendelee na maboresho yafanyike ili kutatua tatizo la mitihani kuvuja.
Semina elekezi za NECTA hadi sasa hazina malipo ya semina!!Walim wanakopwa tu hata wakati wa tarehe mbaya kabisa!
Kwa mfano halmashauri ya uyui imefanya semina mbili za necta bila malipo kwa walim!Ile semina ya wataalamu wa maabara na hii ya darasa la nne!
Walimu wanakopwa nauli na hela ya semina elekezi!!!Necta mnajua unyanyasaji huu wa walimu?!!!Naombeni mfuatilmkuu ulikuwa kigwa au ndono
Diploma ni elimu bora kuliko degree ,ndio maana shule za private zinaoenda diploma!!!Hao wakalia viyoyozi WAMEJISAHAULISHA KAMA NI HIVI MAJUZI TU WALIWAHAMISHA WALIMU WA SEKONDARI KWENDA KUFUNDISHA SHULE YA MSINGI, tena maajabu ya firauni wengine na degree zao wakapelekwa primary wale wa diploma wakabaki sekondari...
Sasa shule za msingi na sekondari zina content sawa ya taaluma kwa walimu wake baada ya hilo zoezi tena muda mwingine wenye taaluma za juu zaidi wapo primary halafu watu kadhaa waliojipea mamlaka wanakurupuka na kufanya maamuzi
Mjinga huyo kakosa nafasi kapanic ni mwalimu wa msingi huyoWalimu walisimamia uchaguzi sio kutoa majumuhisho na kutangaza matokeo alafu walikuwepo manesi, graduate kibao tu kwenye uchaguzi heshimu walimu wewe
Point yako aina mashiko.kusema sekondari wanakuja wanafunzi wasiojua kusoma na kuandika.serikali ilishatoa mwongozo mwanafunzi asiejua kusoma na kuandika anaruhusiwi kupanda darasa. anafaulu vipi mtihani mtu asiejua kusoma wala kuandika?laumu mfumo wa nchi yako kuhusu elimu.elimu imejaa siasa na maagizo ya kijinga unategemea nini.huwezi zuia udanganyifu kwa mbinu hzo.Mwalimu wa sekondar anakaa nje ndan anasimamia mwalimu wa msingi.sasa kama unazuia mini halo!Napongeza uamuzi wa NECTA, hii itakomesha mianya ya udanganyifu haswa kwa primary, kwa miaka mingi walimu wa primary wamekua wakihusika kwenye udanganyifu mitihani ya darasa la Saba hivyo kupeleka sekondari wanafunzi wasiojua kusoma na kuandika.
Pole sana mwalimu wa primary naona tonge limepokwa kabla hujameza !!! Tafuta extra activity ya kufanya achana na kazi maalumu mzee!!! Nani alishafanya kaz maalumu akawa tajirii!?? Mbona fursa ni nyingi sana mtaani!??Hao wakalia viyoyozi WAMEJISAHAULISHA KAMA NI HIVI MAJUZI TU WALIWAHAMISHA WALIMU WA SEKONDARI KWENDA KUFUNDISHA SHULE YA MSINGI, tena maajabu ya firauni wengine na degree zao wakapelekwa primary wale wa diploma wakabaki sekondari...
Sasa shule za msingi na sekondari zina content sawa ya taaluma kwa walimu wake baada ya hilo zoezi tena muda mwingine wenye taaluma za juu zaidi wapo primary halafu watu kadhaa waliojipea mamlaka wanakurupuka na kufanya maamuzi
Acha wadhalilishwe tu hata hawajitambui maana hao ndio washiriki wa hujuma Kwa wananchi wakishirikiana na CCM kwenye uchafuzi unaoitwa uchaguzi Kwa kufanya mbinu haramu za kukwiba kura wakishirikiana na Policcm!
Walimu mtakapotambua adui yenu ni huyo mnaeshirikiana nae kutuhujumu mtakua mmechelewa Sana!
eheee hapo hapo kwenye kuandika kura ndio penye fix ndio ugomvi wangu na waalimu unapoanzia wanatumiwa na CCM kuwaongeza kura ambazo hazipo sababu wao ndio washikilia jiko!
Walimu na Polisi, sijui wana nini?
Zinaitwa KADALAANA siku hizi. Toto lako likifeli au ukilichoka lipeleke ualimu na upolisi.
Mkuu nimecheka sana. Mimi sio mwalimu.ndugu Mwalimu hii imepiga mpaka Kwenye mfupa Mimi nilirusha jiwe gizani limekupata Hilo pufuuuuuu Tena la mbavu!
😁😁😁😁