Walimu, kwanini ni nyie tu kila siku?

Walimu, kwanini ni nyie tu kila siku?

My Honest Book

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2015
Posts
1,363
Reaction score
2,171
Leo bhana nimekaa nasikiliza kipind cha Good Morning cha WASAFI FM mida ya magazeti nasikia eti serikali inawaombea huruma walimu wapate unafuu wa mikopo..kwmb walimu ndo kundi la waajiriwa linaloonekana kuish maisha duni kwasababu ya mikopo ya riba kubwa.

Walimu andamaneni mpane ongezeko la mishahara kuliko kutumika km chaka la wanasiasa

Hii stori imenikumbusha kipindi flan ilikuwa wakitwaja idadi wa watu km kuna maasai miongoni mwao utasikia kulikua na watu nane na maasai mmoja, ndiyo yanayotokea kwa walimu kwasasa linapokuja swala la njaa kwa waajiriwa utasikia tunaomba benk zinapunguzie riba walimu na waajiriwa wengne kwan walimu wanaishi maisha magumu kwasababu ya mikopo.
 
Maticha wengi walibikiri madem zao na kazi inaendelea.

Ni kweli maticha choka mbaya lakin sio kama inayoelezwa kwenye umma.
 
Walimu ni kada iliyofeli kwenye malengo yao ya awali wakakimbilia ualimu ili kujikimu kimaisha. Japo ni taaluma ya kuelea na kukuza wataalamu wote lakini walimu wana IQ ndongo ndio maana ni rahisi kuburuzwa na wanasiasa
 
Mimi ni Mwalimu na nina upenda uwalimu. Kwani nani kasema sisi tunataka maisha mazuri sana? Tumeridhika na mikopo yetu.
Then acha kutufatilia wewe Ofisa wa Tiharaei.
 
Mkuu

Mishahara hupangwa na serikali KWA MALENGO maalumu!

"Wenye maamuzi ya nchi yetu waliamua SIASA ndio iwe kazi inayolipa Sana KULIKO kazi nyingine YEYOTE"

Yaani waliamua watu wanaowatumikia wanachi huku site wawe na mishahara ya kawaida HALAFU hao waliopo mijengoni ndio walipwe Sana japo wapi Mbali na wananchi Hadi WAKATI wa kampeni!!!

"NI KOSA KUBWA KAMA NCHI WALIFANYA JAPO HAKUNA MWENYE UWEZO WA KUHOJI HILO LABDA MIMI NIHOJI HUMU JAMVINI"

NDIO MAANA MAPROFESA TENA KWENYE VITENGO VYA UZALISHAJI HASA SAYANSI WAKAONA UALIMU NI UMASKINI BORA WAKIMBILIE HUKO,NA KUACHA KAZI AMBAYO INGEONGEZA TIJA YA UZALISHAJI NA KUPATA MALIGHAFI ZA VIWANDA"!

NDIVYO ILIVYO AMULIWA,

NASUBIRIA MWENYE MAWAZO KAMA YANGU ASHIKE HATAMU APRUNI MISHAHARA NA POSHO ZA SIASA AELEKEZE KWENYE MAMBO MTAMBUKA YENYE MATOKEO YA MOJA KWA MOJA KWA WANANCHI! NAMSUBIRIA SANA!


KAMA WEWE NI MEMBER WA WALE
THE STATE ECONOMIC INTELIGENCE CHUKUA HIYO!!

WRITTEN
 
Ukisaini kazi ya ualimu umesaini umasikini wa kudumu wewe na familia yako, ndio maana mgomo wa walimu na mgomo wa madaktari wa walimu hauna uzito na hautishi wanasiasa.
 
Ukisaini kazi ya ualimu umesaini umasikini wa kudumu wewe na familia yako, ndio maana mgomo wa walimu na mgomo wa madaktari wa walimu hauna uzito na hautishi wanasiasa.
MKUU

Umaskini ni Roho kama ilivyo UTAJIRI!

Hakuna uhusiano wa aina ya KAZI na UTAJIRI wala umaskini bali Roho!

Mi ni Mwalimu,lakini sioni dalili ya kuwa masikini Hadi Sasa coz Sina Roho ya umaskini!

Umaskini hausababishwi na aina ya KAZI bali na state of mind ya muhusika!inategemea una I stretch mind YAKO kuelekea WAPI,kwenye umaskini au UTAJIRI, ni chaguo lako!!!


Matajiri wapo WENGI lakini hawavumi tu,hata forbes haitambui matajiri wote bali wanaowataka watambulike na serikali ni Hivyo Hivyo!
 
Walimu wamezidi asee, harakat za kupigania haki zao utahis labda ni kundi la vilema
Watu wanatumia tu hiyo kada kwa sababu wanajua walimu ni wengi hivyo ni rahisi kutumika kushindia mechi za watu.Walimu no 60% ya watumishi .Hakuna MTU yeyote anayehurumia mwalimu bila lengo nyuma ya pazia.Jiulize walimu no sehemu gani ktk population ya Watanzania milioni 61.7 ,Ila sasa kwa vile fedha yao inatengwa kwenye bajeti na watu wanaiona basi wanakuja kuipigia upatu.
Tangu zamani Walimu walikuwa wanatumika kama daraja LA kuvukia wanasiasa.Vyama vyao ambavyo vingewasaidia navyo vimenunuliwa.
Hatari yake ni hii
WALIMU WANALIJUA HILI KWA HIYO WANA MGOMO BARIDI WANAZALISHA MABUMUNDA SHULENI! MWISHO UKOLONI UTARUDI UPYA TZ MAANA WANANCHI WALIOFUNDISHWA NA WALIMU WALIONYANYASWA HAWAJITAMBUI.INAKUWA KAMA LAANA KWA NCHI!!! My take! Vijana mnaotafuta ajira fanyeni shughuli nyingine achaneni na ajira ya Ualimu!Ualimu haujawaji kumtoa MTU!
Mungu ibariki TZ mungu ibariki Africa.
 
Nchi hii bana, daah!!

Kwanza Hakuna Bank itakayotoa mishahara midogo kumfurahisha Mwalimu.

Pili, Mishahara ya walimu siyo midogo ni ya kawaida.

Tatu, Njia rahisi ya kuwasaidia walimu aj waajiriwa wote kwa mikopo nafuu ni kuweka access ya mikopo isiyo na riba kwa waajiriwa wote.

Kama ambavyo wafanyakazi wa NSSF, PSSF, NHIF, HAZINA na mashirika ya umma wanakopeshana pesa kuboresha maisha yao.

Vivyo hivyo, Halmashauri Diane kuwakopesha watumishi wake bila riba hata kwa kiwango kidogo Kama ilivyo kwa 10% ya mikopo ya vikundi.
 
Back
Top Bottom