Elimu ya Tanzania inatia hasira tena inaumiza sana hasa unapoichunguza kwa undani ebu fikiria aliye pata ZERO kidato cha nne anaaminiwa kuwaandaa wanafunzi wa shule ya msingi et! Mwalimu, mwalimu! Yupi aliyepata zero form four?
Ambaye Hana hata taaluma ya ualimu? Serikali inabidi itambue na ifumbue macho kutoa ajila Kwa walimu maana huko vijijini inaleta shaka na hasira namna shule zilivyo, ebu fikiria shule yenye wanafunzi 400+ Ina walimu wa watano? Kweli? Hiki ndicho kinafanya walimu wakuu wawapokee walio shindwa na kuona wanafaa kuandaa taifa la kesho, inachekesha au inaliza?
Hata wale wenye taaluma zao za ualimu wanakimbia huko mashuleni kwa kutaka maslai ridhishi, Fikiria yule mbumbumbu aliyezoea kula maembe nyumbani akiwa mdogo ujinga wake utatolewa na mjinga wa form four?
Hapana tufikiri upya, tuweke tija katika elimu hasa huko vijijini, shule za mijini Sina shaka nazo maana walimu wamejazana hadi ofisi hazitoshi wengine wanaishia kureport asubuhi na kwenda kufanya mishe mishe zao nyingine lakini huku vijijini inasikitisha mara utasikia chaki zimeisha kafuata mkuu mjini vipindi siku mbili hakuna watoto wanacheza madarasani!!
Inakera Miaka iliyopita kulikuwa na motisha na Adhabu wa wakuu wa shule et! Ukifelisha sana wewe huwajibiki ingalia ana walimu watano.. anaefaulisha anaonekana Bora! Walidondokea pia kwa kuishia kutengeneza matokeo kwa wanafunzi, ukiangalia matokeo hadi unajiuliza hadi Fulani nae kafaulu? Inasikitisha sana Tutazame kwa jicho la ziada elimu yetu hasa vijijini
Asante.
Imeandikwa na
Denisi G Ngalo
denisingallo8@gmail.com