Recent content by stephan mtumbuka

  1. stephan mtumbuka

    Hii ndiyo familia inayotawala ulimwengu!!

    Duuhh nlikuwa usingizini....
  2. stephan mtumbuka

    Ubora na bei za tecno smartphones

    Zinatofautiana kidogo sana hususan ktk grafx na pixel ram na internal storage bt ni poa sn nokia na i phones walibweteka sn wakidhan wao ndo kila kitu.
  3. stephan mtumbuka

    Natafuta mtoto mbichi umu

    Mbichi ndo nn
  4. stephan mtumbuka

    Yanga yamtimua kocha wake Ernie Brandts

    Ni kweli yanga imefukuza kocha baad ya kufungw na simba
  5. stephan mtumbuka

    Waziri Kagasheki ajiuzulu; David Mathayo, Nchimbi na Nahodha watimuliwa na Rais Kikwete!

    Mmh nahic ccm ndo inaamka ss walikuwa wap? Miaka yte na kuhusu wizara ya nishati na madin nayo ichunguzwe..
Back
Top Bottom