Natafuta mtoto mbichi umu

Natafuta mtoto mbichi umu

Kazitunayo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2013
Posts
3,784
Reaction score
3,209
Natanguliza salam zang kwenu wana JF..nataka mtoto mbichi haswa niende nae Dubai nikale nae bata nimepata vijisent vyangu vya miradhi natafuta mtu wa kwenda kuvilamba nae anaeitaji ani PM tu ni baada ya mwaka mpya tunaanza safari
 
Mtoto mbichi niko hapa......we sema hivo vijisent ni sh ngapi

Sharti:Tunamalizana hapa hapa hamna mambo ya kuja PM
 
Mimi ni dalali wa watoto wabichi....
Lete dau nikuletee kifaa kibichiii..
 
Keshapatikana hapo juu. Ni H.O.E. Tambaa nae kiubichiubichi.
 
dah! Mbichiiiiiiiiiiii! Utaenjoy sana! Kila kheri mwaka mupya, kwako uwe kiubichiubichi!
 
Wote wakavu.

labda wewe ushanunuliwa?.
Hapana tabu hata ukiwa mtekemteke swadakta surat mantashafruuuun!!!!
 
Ama kweli macho yanaona na moyo unatamani tembea uone.
 
watoto walozaliwa kabla ya mda wao ama?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom