Recent content by Steph JK

  1. S

    Tatizo la Acid Reflux

    Mimi nilipewa dawa kwa sh. 150,000 na dawa nilijitengenezea na nimepona kabisa. Kama unahitaji njoo inbox kwa sh. 20,000 tu. Unisaidie kurudisha gharama
  2. S

    Pongezi kwa TANESCO Dodoma

    Habari, Achana na tatizo la umeme hilo lipo nchi nzima. Hapa natoa pongezi kwa maboresho yaliyofanyika kwenye suala la kuomba kuunganishiwa huduma ya umeme. Inawezekana maboresho yapo nchi nzima lakini mi naomba nizumngumzie na niwapongezi wale walionihudumia na nikarishika. Niliomba...
  3. S

    Yu wapi kiungo fundi Yanick Litombo Bangala?

    Kweli Hersi hawaamini viongozi wenzake. Anazitumikia nafasi zote kasoro umeneja habari tu
  4. S

    Sijapendezwa na uzinduzi wa jezi za Simba kuwekwa majina ya viongozi

    Yanga ilipozindua ilimpelekea Rais ikampa iliandikwa jina vip uliongea haya unayoongea? Hakuna kiongozi wa kisiasa aliyepewa. Amepewa Rais na Makamu wake na wote waliopewa wamepewa kwa nyadhifa zao za kiserikali na sio chama. Ndio maana baadhi ya waliopewa kama Tulia anajulikana ni Yanga lkn...
  5. S

    MAGARI YA UMEME: Fahamu Faida Zake, Aina na Namna Yanavyofanya Kazi

    Juzi nilipanda Hybrid car toyota aqua toka Morogoro hadi Dodoma alikuwa anatembe hadi 130km kwa saa na alikuwa anatumia umeme. Nilitamani sana
  6. S

    Wake zetu kutunyima, hii ina maana gani?

    Mkeo anashindwa kukuambia tu, ukweli ni kwamba humridhishi. Anaona kufanya nawe ni kutiwa nyege na kuachwa hewani bora asifanye. Hana shaka kwamba utachepuka kwa sababu ana amini hakuna unachoweza fanya huko zaidi ya kuliwa hela. Hayo yote unayathibisha kwa kusema Huna mchepuko. Tatua tazizo la...
  7. S

    Nikupe siri kidogo ya Kudumisha Maisha ya AC ya gari yako na Maisha yako Binafsi

    Binafsi kukiwa na mvua kuna harufu furani nakisikia kwenye gari. Nimechunguza kila sehemu hakuna shida. Hiyo filter kuna zaidi ya miaka minne sijabadilisha wala kupulizwa na bara bara zangu ni bonyoko, mbezi makabe na mpiji magoye
  8. S

    Chakula kipi uliwahi kutana nacho ugenini ukajutia ugeni wako?

    Mwaka mmojaniliota Africa kusini kwa mara ya kwanza. Nikiwa kwenye hotel ya five star nikaletewa menu ya msosi hakuna msosi niliouelewa zaidi ya ugali na pork rib (mbavu za nguruwe) nikaagiza. Nimeletewa kama nilivyoagizwa lkn nyama ya nguruwe ilikuwa na sukari nikashindwa kula kabisa
  9. S

    Kitendo cha Rais kusimamisha hotuba kisa Adhana ya waislam imakaaje hii kitaifa?

    Acha uchochezi usio na maana. Inakusaidia nini
  10. S

    Ipi suluhu ya kuboresha uwezo wa kuona?

    Nami nimepewa miwani, nimeiweka kapuni. Sasa nipo na dozi ya karoti na mboga majani nikiamini nitapona
  11. S

    Msaada: Shahawa zangu nahisi zina tatizo naomba ushauri

    Unapo maliza kukojoa (namaanisha kukojoa kwa kawaida), Kuna kitu chochote kinatoka zaidi ya mkojo
  12. S

    Ipi suluhu ya kuboresha uwezo wa kuona?

    Ulitumia kwa ratiba ipi?
Back
Top Bottom