Recent content by stelita

  1. S

    JamiiForums Tanzania Andrew Chan na Myuruan Sukumaran kupigwa risasi 28/04/15

    ASANTE kutukumbusha japo najua si wengi watakuunga mkono. Watu wamehamasika kushabikia hii adhabu kwa kutazama ubaya wa athari zitokanazo na matumizi ya madawa ya kulevya lakini yapo mengi katika jamii ambayo hata mimi na wewe tumewahi kufanya,aidha kwa siri au hadharani,yenye madhara maradufu...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kijana aliyemuua askari, naye auawa

    kirefu chake ndo kipi ?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Prof. Muhongo aita waandishi wa habari leo

    too much waiting no serious updates like april fools day.
  4. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazee mpo hii yenu

    jamani wale wachache waliomtumia email anashukuru. tayari anawasiliana na mmoja wao wakipatana itakuwa imetosha....
  5. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazee mpo hii yenu

    Kuna Mbongo kaniomba nimsaidie kupost hii maana yeye akaunti inagoma kufunguka kasahau nenosiri....nawaomba chonde usitume PM kwangu kwani haitosaidia wala sitazijibu badala yake wewe tangaza nia hapa kwenye post atakupm yeye mwenyewe akipenda. NAMNUKUU.... Mimi sifa zangu ni kama ifuatavyo...
  6. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabia ya wadada/wanawake kubadilisha status kwa hitilafu ndogo za kwenye uhusiano

    mimi huwa nasoma ili kuwachora na kushangaa akili zao zilivyo finyu...........wengine ni watu na heshima zao, kila siku utakuta ana update status ya kinachoendelea rohoni mwake loh! ulimbukeni wa mtandao nadhani, but inakera saaaana kama nawe ni mmoja wa wanaowekwa hadharani e.g. ni spouse...
  7. S

    JamiiForums Tanzania President's Delivery Bureau (PDB) - Employment Opportunities

    hivi hizi nafasi ziliishiaga wapi?
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara Matei apata ajali na kufariki

    r.i.p marehemu wote,,pole walioguswa
Back
Top Bottom