President's Delivery Bureau (PDB) - Employment Opportunities

President's Delivery Bureau (PDB) - Employment Opportunities

Hizi kazi zilikwisha tangazwa siku nyingi na naona mchakato unaendelea.sijui mpaka lini na ni consultancy firm Deloitte.
 
Sasa hizi nafasi wanataka watu wenye uzoefu wa miaka 10; hawa vijana wanaohitimu siku hizi wengine na Masters zao huo uzeoefu wataupata lini? Naona hii ni mbinu ya kutaka kuwachuja vijana wasipate hizi kazi!!!
Kazi zingine zinahitaji uzoefu wa miaka mingi. Haiwezekani direct from university kuwa director au manager. Kapate uzoefu kwanza kwa wahindi
 
Kazi zingine zinahitaji uzoefu wa miaka mingi. Haiwezekani direct from university kuwa director au manager. Kapate uzoefu kwanza kwa wahindi.

Acha umbwiga wako wewe , mimi nazungumzia mambo serious wewe unaleta mambo ya wakina Manji !!!!



 
Back
Top Bottom