Recent content by starboy09

 1. starboy09

  Nimechanganyikiwa nisaidieni

  yaani mkopo wote huu unalalamika?!!!!!
 2. starboy09

  Nimechoka kua mwalimu

  1. Soma course upendayo Open Univesity huku ukiendelea kufundisha...,ukishahitimu unaweza kutafuta kazi kulingana na ulichosomea ukaachana na ualimu 2. Chukua mkopo wa maana bank invest kwenye business..,stress za shule zitapoozwa na profits utakazopata kwenye biashara.., ukiona biashara...
 3. starboy09

  Uliza swali lako kuhusu CFD, Options, Bonds, Stocks and Currency Trading (Forex)

  well said mkuu..,ukiwa na working strategy afu tamaa ukaweka pembeni huwezi kublow account kamwe..,
 4. starboy09

  Naomba ushauri wenu juu ya mambo haya, maana mwenyewe imefika mahali nimeanza kukata tamaa

  ina maana hutumii stop loss mkuu!!!!? Sent using Jamii Forums mobile app
 5. starboy09

  Mwalimu wa physics na chemistry anahitajika haraka

  Kama una degree ya ualimu na masomo yako ya kufundishia ni Physics na Chemistry kuna kazi ipo manispaa ya musoma.,njoo Pm nikupe maelekezo
 6. starboy09

  Video chafu ya Baba Askofu Josephat Gwajima Yavuja...

  naomba unirushie video plz pm
 7. starboy09

  Celebraties with and without makeup.

  duh! bila make up tutakimbiana hapa Sent using Jamii Forums mobile app
 8. starboy09

  Rais Magufuli umeshindwa kuinua elimu Tanzania

  aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
 9. starboy09

  Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

  umesema vema mkuu fx is more than reading books.,walioijua hii siri ni wachache na wanapiga pesa hatari.,ndio maana mimi tangia mwanzo sikuhangaika kujichosha na haya mavitabu niliamua kutumia approach tofauti kabisa
 10. starboy09

  Huyu msichana ataniua hakika

  cha kufanya usiogope.,mfate mueleze hisia zako na najua atakukubali tu.,story yako ni kama yangu na nilifanikiwa mpaka leo niko naye
Top Bottom