Siku ile ya tareh 5/5/2010 akiwa mbele ya wazee wa Dare s alaam JK huku akiwaita wafanyakazi mbayuwai, alitamba sana akisema. Namnukuu, Mimi ndio mwajiri wa wafanyakazi wote hivyo atakaye goma nitamfukuza kazi. MPENDWA MFANYAKAZI MWNZANGU, WAKATI WAKO WA KUTAMBA UMEFIKA. TAREH 31/10/2010 KWA...