Jamani hivi hii ni kweli?

Mimi sijaoa bado lakini jambo hili linanitatiza sana sijui nyie waungwana mnalionaje. Ni hivi kuna rafiki zangu waliooa wanasema kuwa eti ili mwanaume utulie kwenye ndoa yako ni lazima kabla hujaoa uwe umeshafanya ngono na Changudoa, Shoga, visichana vya under 18, mke wa mtu mwingine n.k ili ukiingia kwenye ndoa akili yako itulie na vyote hivi visikuzuzue, hii imekaaje jamani?

kuna watu vichwa vyao vina madudu
 
Hao marafiki zako wamepotea...na cha zaidi wanataka na wewe upotee....cha msingi focus on your coming wife na make out your own decisions.
 
Una washauri wabaya. Jiepushe nao vinginevyo utaangamia
 
Amakweli ...AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO!!!
icon4.png
nilitaka kusema hivyo hivyo naona jamaa kachukua za kuambiwa tu akuchanganya na za kwake lol
 
Kwa ukweli, huo ni ushauri mzuri. Mi niliuapply na tangu nioe ni mauaminifu kwa kwenda mbele.

Kawamege mkuu, tena usitumie kondom ili upate uzoefu kamili
 
kama ndio ushauri ulipewa huo utapotea! Hayo ni maovu tupu hakuna jema hapo unaloweza kuliita ni maandalizi ya ndoa.
 
Hii haija kaa vema maana dunia ya leo manbo yameharibika. Magonjwa ni mengi ukiwemo UKIMWI.

TKE CARE USIPOTOSHWE!!!
 
Kaka nakupongeza sana kwa hekima na busara zako.
Mianamume mijinga ndio inarukia kila shimo, inaingia hadi kwa mashoga.
Na wenye tabia za kuwaingia mashoga mtakoma siku wakija kuwaingilieni nyie..
ukifuata ushauri kama huu..ujue umepotea moja kwa moja na utachanganyikiwa utakapoinga kwenye ndoa.hebu tuchambue kidogo tuone madhara ya ushauri huu:
1. changudoa - huyu ni kiumbe yuko kazini - akili,mawazo na fikra yake haipo kwako na hujizuia kabisa kutokuwa emotionally involved na wewe mtakapokuwa wawili. Ataweza kukufanyia mambo ambayo mkeo hatakufanyia kamwe.sasa uzoefu kama huu utafanya nao nini ukishaoa? Huoni kila mara utataka urudi huko kupata ladha ambazo mkeo hatakupa?

2.shoga - huyu ni mwanaume mwenzio - kuanzia muonekano, haiba, feel of the body etc hafanani na mwanamke.uzoefu kama huu huoni hauna maana yoyote kwako ukiachilia mbali kuwa ni chukizo mbele ya mungu wako?

3.visichana under 18 - kwanza unabaka na unaweza kuishia jela miaka 30 na kuendelea na usije kuoa kabisa. Unatafuta nini hapa? Ukibahatika kutokuiona jela, huoni wewe utakuja kuwa hatari kwa jamii hata watoto wako mwenyewe endapo utafurahia visichana vidogo? Je hiki ndicho unachokitaka?

4. Mke wa mtu mwingine - na wa kwako je akijakuonjwa na mwanaume mwenzio mwenye mtizamo kama huu utajisikiaje?
 
Mkuu AKILI Kuambiwa Changanya na AKILI YAKO mwenyewe, halafu amua kipi kizuri na kipi kibaya, usi copy na ku paste kila kitu
 
Back
Top Bottom