Msaada: Kuikabili HANGOVER Jumatatu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: Kuikabili HANGOVER Jumatatu!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Asprin, May 28, 2010.

 1. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #1
  May 28, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,841
  Likes Received: 23,459
  Trophy Points: 280
  Ni hivi:

  Jumamosi hii mdogo wangu atakuwa anaoa. Harusi itakuwa na bia za kutosha.

  Jumapili mpwa wangu anapata komunyo ya kwanza. Kutakuwa na bia za kufa mtu.

  Jumatatu ni mwisho wa mwezi, maripoti kibao.

  Kuna mtu yeyote anajua dawa ya kuikabili HANGOVER ili jumatatu nisihatarishe uhai wa kibarua changu? ANGALIZO: Dawa hiyo isihusiane na kuacha kunywa bia siku hizo mbili wala vidonge vitakavyonilazimisha nisinywe bia jumatatu jioni baada ya kazi ngumu.

  Wakati nikiwaombeni mniombee jumatatu inikute mzima, :glasses-nerdy:Mimi nawatakieni wikiendi njema.
   
 2. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hapo ni msosi tu ukishiba tu bia zitakuwa zinashuka zenyewe, kabla hujanywa hakikisha umeshiba.
  Ukiamka asubuhi piga mitori bakuli 2 alafu kamata bia 3 za baridi, then pumnzika kidogo agiza supu sasa.
  Nakuhakikishia hang over hutaisikia.
  Mbona hatukaribishani mpwa utamaliza peke yako makreti hayo?
   
 3. Lily Flower

  Lily Flower JF-Expert Member

  #3
  May 28, 2010
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 2,555
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Dah hiyo ni bonge la weekend Kaka ukishakunywa hizo bia zote kumbuka kuweka valuu kidogo then your Monday will be mwaaa! ni ushauri tu nothing personal.
   
 4. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #4
  May 28, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,841
  Likes Received: 23,459
  Trophy Points: 280
  Hahahaha! mpwa we utakaribishwa kwa kustukiza.

  Ebwanae, hivi unajua sina hobi ya kupata misosi? Mi kazi yangu ni kunywa tu. chakula wanakula kina mama na watoto.
   
 5. Typical

  Typical JF-Expert Member

  #5
  May 28, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 261
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  kunywa maji mengi kabla ya kwenda kitandani,zaidi ya lita moja na nusu hivi!na ikitokea umeshtuka usiku piga glass ya maji!hapo utaamka fresh kabisa.
   
 6. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #6
  May 28, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Ukitaka ufaidi hizo shuhuri hakikisha mapilau na mawali hugusi wewe unacheza na minyama nyama na vitu laini kuweka tumbo safi.
   
 7. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #7
  May 28, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  hahahahaaa!!! mambo ya miwali na miubwabwa na mitambi wanakula wakina matesha na jane sio???

  Fanya hivi, hakikisha unakula supu/kisusio cha maana au mtori asubuhi sana, na unapiga kama bia tatu au nne za baridi mapemaaaa! then rudi home na ujifanye unaangalia tv, lazima usinzie. sasa ukiamaka hapo.......unakuwa pampula balaa....na morning uko poa kabisa.
   
 8. Egyps-women

  Egyps-women JF-Expert Member

  #8
  May 28, 2010
  Joined: Feb 5, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hujatupa kadi unaomba msaada...acha uchoyo Chrispin
   
 9. Mom

  Mom JF-Expert Member

  #9
  May 28, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mi nitakuwepo kwenye hiyo harusi, nitahakikisha unakunywa pombe mpaka j2 ushindwe kutembea utauguza uchovu j2 yote. j3 utakua fresh
   
 10. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #10
  May 28, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,806
  Likes Received: 1,140
  Trophy Points: 280
  hapo hata kazi ukifukuzwa ni shauri yako,we kunywa tu lakini angalia usipoteze ugali wako kwaajili ya kuendekeza kilevi,hiyo jumapili chapa udirinki lakini hakikisha hunywi mpaka saa kumi asubuhi,nna uhakika ukinywa mpaka saa sita usiku sio mbaya kesho unaamka poa kabisa bila hang over wala nini hakikisha umepiga supu kabla ya kulala na mtori ukiamka.
   
 11. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #11
  May 28, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,841
  Likes Received: 23,459
  Trophy Points: 280
  We dada ulishawahi onja valeur? Ile huwa inapoteza netiweki ujue. Naona unataka kibarua changu kiingie mchanga.
   
 12. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #12
  May 28, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,841
  Likes Received: 23,459
  Trophy Points: 280
  Ushauru mzuri tatizo ni kuwa, je ntakumbuka? mi nikishayamimina maji ya kutosha akili yangu inahamia kitandani
   
 13. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #13
  May 28, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,841
  Likes Received: 23,459
  Trophy Points: 280
  Hahahaha! Kamanda ahsante kwa ushauri murua. Ntaufanyia kazi. Vipi tuk tuk ina wese la kutosha?

  Hahahaha! Dah! kamanda inaelekea yu a veri eksipiriensd kuyakabili mahangover. Bado unapiga mzigo TBL?

  Hii haina cha kadi E-w, Just PM me and you will be invited instantly!

  Sasa yakitokea yale ya Infidelity ya mamaa la Carmel utamlaumu nani?

  Hili ni neno la busara sana. Ubarikiwe mtumishi wa Bwana. Ila nikifukuzwa kazi kina matesha nukuletea uwalee.
   
 14. Tonge

  Tonge JF-Expert Member

  #14
  May 28, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kaka kazi unayo ila 'vitu vizuri kula na nduguyo' tualikane mkulu, mi nakushauri licha ya kula vizuri hasa kamdudu ka kurosti pia unywe tusker baridiiiiii,siipigii debe ila yalishanitokea mafuriko kama hayo nilikunywa jumla ya tusker kama kreti 2 kuanzia jmosi hadi j2 saa 7 hivi ila kumbuka maji kama lita 1 kila baada ya bia 7 ni muhimu.Starehe njema rafiki.
   
 15. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #15
  May 28, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  sasa mkuu, ukipiga tuskeri na wadada watakunywa nn? we piga safari bana!! inarudisha heshima ati!!
   
 16. S

  Stapler Member

  #16
  May 28, 2010
  Joined: May 17, 2010
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dawa ni supu tu! na mtu asikudanganye, Amka jmosi ashubuhi, Gonga supu na pc mbili ya kongoro, kama kuna ndizi chemsho pia itakuwa shangwe zaidi, gonga kama 2pcs. Ikifika mchana kachome nyama nusu kwa ugali then kaoge upumzike angalau 3hrs. Ukitoka hapo kakamate tena supu kama kawa halafu after 1hr anza kukata maji mwana mpaka saa saba nane usiku si mbaya. Kesho yake asubuhi follow the same procedure then moday you will be fine!

  Note: usije ukala wali, tambi, wala ubwabwa maana utaubuka and Dont drink and drive.

  Mm mwenyewe nimepiga marufuku kupikwa kwa vyakula vya aina hiyo niliyotaja hapo juu nyumbani kwangu siku za shangwe!!!!! (weekend and holidayz).

  Good Weekend!:painkiller:
   
 17. Lily Flower

  Lily Flower JF-Expert Member

  #17
  May 28, 2010
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 2,555
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  What hapo kwenye red you people are overdoing jamani nikwamba the next day kiwanda kitakuwa kimefungwa au?
   
 18. Lily Flower

  Lily Flower JF-Expert Member

  #18
  May 28, 2010
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 2,555
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Walevi utawajua tu, ndio wale wale, haya weekend njema.
   
 19. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #19
  May 28, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  weweee......koma kabisa, watu tusififanye tuyapendayo kwa raha zetu!!
  mbona wazee wa kilimo kwanza huwa wanang'ang'ania kifuani na kugeuza geuza style zote kama vile hiyo kitumbua haitakuwepo kesho yake!!
   
 20. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #20
  May 28, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  honey, ckujua kaam una mambo mazuri hivi weekend jamani halafu ukakaa kimya bila hata kunitonya, nimeckitishwa sana na hiki kitendo.
   
Loading...