Aisee mkuu nakubaliana na wewe 100% kwa 100% maana hivi sasa hakuna matangazo yoyote yanayorushwa yanayohusu ukawa, hata magazetini kwny kituo cha TBC1 habari kuu zote zinazohusu ukawa wanazikwepa kuzisoma kabisa, huu ni ukiukwaji wa haki ya habari.
Ndugu zangu wapendwa wanna JF, nina eneo langu la shamba ukubwa wa robo tatu hekari lipo maeneo ya Kiluvya madukani kilometer 1 toka barabara kubwa ya morogoro, kwa maelezo zaidi waweza kuwasiliana nami kwa no. ya simu no.0784599539. bei ni milion 12. maongezi yanaruhusiwa
Ndachuwa Wale majitu pale mjengoni sio watoto hadi watishwe namna hyo na waufyate ki-hivyo kwa mkwara wa samwel sitta, kinachoendelea ni misimamo ya kichama na AZMA yao ya uchakachuwaji. Amini kuna ma-CCM yamo na hayakubaliani na misimamo hiyo lakini yatafanyaje sasa!!! yanaogopa kukisaliti chama.
Mkubwa nikupe pole kwa adha hiyo ya aina yake, kwenye maelezo yako nilivyoyapitia nikagundua baadhi ya mambo ambayo huenda ikawa chanzo (source) cha kukukosesha opportunity hiyo,
(1). Cha-kwanza nahisi labda wewe mwenyewe ulipata hamasa ya furaha ulipopata taarifa hiyo ya kuitwa kwenye...
With reference to the title above, you means to teach / instruct on how "to get free internet on the cellphone" by using tweakker provider, NOW,do you mean that the free accessibility is easily accessible by means of / from tweakker???? Who provide the free accessibility on cellphone if users...
Huyu jamaa anaonekana ni mamluki anataka kutuharibia chama chetu, ametumwa mwogopen kama ukoma. kwa wale wakristo wanaelewa imeelezwa tujihadhari na wapinga kristo. Huyo nae ni wa type hiyo kama ckosei. but hii ni kwa mtazamo wangu.
Njia nyingine ninayodhani ni ya kuandika na kutuma CV na COVER LETTER kwa kutumia karatasi za RANGI tofauti ili kuwa na mwonekano wa kipekee na pia kuwa considered. kama vp unaweza ongeza na hiyo kama trick tu ya nyongeza.
Ni kweli jamani mafisadi wa elimu wapo na ni wataalamu wa kuongea sana ili kujitengenezea mazingira fulani ya kiulaini katika ulaji wao wa day to day, hii inamaanisha wasomi wengi wataendelea kukosa nafasi za ajira kutokana na nafasi wanazostahili kuzipata kutumiwa na wajanja wachache, hili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.