please naomba mnitumie interview tips

mbenye

Member
Mar 26, 2011
26
0
jaman wana jf mimi nimehitimu homec sua mwaka jana bado sijapata kazi, ombi langu kwenu, naomba mniambie niandikeje cv na cover letter ili iwe considered, pia naomba atakae penda na kuguswa nimpe cv yangu private anisaidie pia, kwasasas nipo kilimanjaro nina family problem siwezi kufuatilia kazi peke yangu.
 
MBENYE KARIBU SANA INGAWA AJIRA SI SEHEMU A MAISHA NINGALIPENDA UKIWA MJASIRIAMALI NA KWA KUWA UNAANZA SI MBAYA KUANZA NA AJIRA ILA MAWAZZO UYAWEZEKEZE KWENYE KUJIARI BE UR OWN BOSS..PLS NINA MAKARATASI MAZURI utayasoma ila kumbuka kumtanguliza Mungu interview nyingi zinafanyika kabla nyie mnakuwa washereheshaji kwa kuwasindikiza waliochaguliwa TU TUWASILIANE
denismandia@yahoo.com
 
Google interview tips unaweza weka nchi baada ya maneno kama uk, ireland

Ingia kwenye websites na soma links huwa zinainfo nyingi ila zinasaidia sanaaaaaaa na mifano ya kukusaidia kuandika


Jua tu kuwa mambo ya kuandika tarehe ulizaliwa, na yasiyonakichwa banakuchukulia tu nafasi. Na kama hauna experience nyingi ya kazi usizidi page 2 cv, cover let paragraph kama 2 au 3 na siwe fupi kama line sio zaidi ya 3 au 4 hapo ni unajiuza ili mtu asome cv yako.

Google and goodluck

n.b. Always kumbuka cv yako ndio point ya kujiuza ili wakuite interview hivyo usiandike yote ukakosa cha kuongeza kwenye interview
 
Njia nyingine ninayodhani ni ya kuandika na kutuma CV na COVER LETTER kwa kutumia karatasi za RANGI tofauti ili kuwa na mwonekano wa kipekee na pia kuwa considered. kama vp unaweza ongeza na hiyo kama trick tu ya nyongeza.
 
Back
Top Bottom