Hii game graham ameshaijua approach yetu ya kuwatumia saka na martineli kudeliver final deadly passes, naona wakikamata mipira wanakabwa kwelikweli. MA need to change approach or motivate his players to increase pace of the game.
No team has ever win EPL after losing 5 games of first round. Kwa sasa wandugu wamebakiza 2 na ndo kwanza tuko round ya 11 kati ya 19 za mzunguko wa kwanza.
Kinachombeba Gabriel ni kuwa the only left footed CD at the moment. MA hana any other option kwenye left side centre back ndo maana bado anaendelea kumpa nafasi.
Mimi huyu mama sijawahi kumuelewa, naona mambo ya kishenzi yamerudi kama zamani tu. Mfano upande wa ardhi ndo hovyo kabisa mwaka 2021 ilinichukua mwezi 1 tu kuprocess hati kuanzia mwanzo hadi mwisho mkoani Mwanza. Mwaka huu ni mwezi wa kumi file langu halijatoka hata kwenda kwa kamishna wa ardhi...
Kwenye hii PayPal tunaweza kupata kodi na tozo huko? Kama jibu ni hapana sahau hii kitu, Dkt Nchemba anaona bora muendelee kuteseka tu kama hakuna uwezekano wa serikali kutengeneza chanzo chake kipya cha mapato kwenye hiyo tech.
Ni lazima kuwaachia, kwenye mji wangu ukiingia bila kufuata protocol kuanzia saa 4 usiku mpaka saa 12 hakuna rangi utaacha ona. Hata hao walozi watafanya mambo yao nje ya gate la himaya yangu na sio ndani.
Jenga mji wako, maliza, hamia halafu ukishahamia fuga mbwa. Narudia tena, FUGA MBWA sio kambwa koko...ukiendelea kuona vitimbwi njoo niite **** utanikuta nimekaa pale. Hawa wanahizaya walinisumbua sana hata mimi kipindi niko kwenye ujenzi na punde baada ya kuhamia mara usikie vishindo nje, mara...
Hii thread nimechelewa sana kuiona, ila naamini tatizo langu litakuwa solved hapa. Mimi nina mbwa wangu jike aina ya German Shepherd long coat, kiukweli growth rate ya huyu mbwa hainifurahishi kabisa toka nimnunue ukilinganisha na wenzangu tulionunua pamoja kwenye uzao huohuo. Pia ulaji wake ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.