Recent content by st kayumba pro

  1. st kayumba pro

    Jiji la Mbeya kama kijiji

    mbeya kuitwa jiji ni kwa sababu ya wingi wa watu!
  2. st kayumba pro

    Mpaka kufika mwaka 2020 itatubidi kwenda jamaica kufanya utalii kutazama wanawake weusi

    hatareee! naomba serikali ilitazame jambo hili kwa jicho la tatu!!
  3. st kayumba pro

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya amepiga marufuku matumizi ya simu za mkononi wakati wa kazi

    fikiria mnapata huduma kwenye ofisi huko nyuma kuna bonge la msululu alafu mhudumu ndani anacheza 'game' kwa 'computer' hana habari!
  4. st kayumba pro

    Victor Wanyama Vs Mbwana Samatta

    sure kabisa! akaze buti tu kwa sababu sifa za saa hzi hazna tija sana; "luku fowadi' samatta!"
  5. st kayumba pro

    Victor Wanyama Vs Mbwana Samatta

    sure kabisa! akaze buti tu kwa sababu sifa za saa hzi hazna tija sana 'luku fowadi' samatta!
  6. st kayumba pro

    Victor Wanyama Vs Mbwana Samatta

    acha kumtukana mtz mwezio. hata wewe sio mwelevu vilevile kwa sababu umeshindwa kuelewa kwamba mwezio anafuraha iliyopitiliza. furaha iliyopitiliza ni kama kaulevi flani hivi!
  7. st kayumba pro

    Madaraka kwa Uwiano Kijinsia tutafika kweli?

    mna 'empower' walewale tu! wengine hawahitaji 'power'! kuna mtu alisema huu ubunge wa kuteuliwa iwekwamba mtu anadumu nao kwa miaka miwili kisha anapewa mwingne! ndio ili uwe ulingo wa mafunzo kwa wengine! na ku empower kwenyewe!
  8. st kayumba pro

    Madaraka kwa Uwiano Kijinsia tutafika kweli?

    mtu kama anaweza apewe 'rungu' na si vinginenevyo!
  9. st kayumba pro

    Msaada: Nimepata mkopo HESLB 7.8%

    kurekebishwa lakini utakuwa umesota kiasi. na wasipo rekebisha hamna namna itabidi ukomae kwa staili ya hapo juu.
  10. st kayumba pro

    Msaada: Nimepata mkopo HESLB 7.8%

    ni ngumu lakini fanya hivi: nenda chuoni endelea na masomo! lile bumu la kwanza (nadhani ni laki sita na ushee) lipia ada nusu semister wakati huohuo ukiendelea na michakato ya kukata rufaa. ukibahatika mkopo wako unaweza kubahatika!
  11. st kayumba pro

    Tigo leo mmeniharibia sana

    teh teh teh teh!
Back
Top Bottom