Tigo leo mmeniharibia sana

Tigo leo mmeniharibia sana

Ha ha ha,
Dah kama mimi aisee. Unajua hizi nje cup kama ni wake za watu haitakiwi muwe mnaingia Guest hiyohiyo kila siku. Kila mkikutana mnapanga Guest mpya ili kua salama zaidi, na jina la guest unampa siku hiyohiyo asubuhi. Hapa ndipo tigo walipotuwezea aisee

Unaona siiiiiiiiiiiiifa mwenyewe?
 
Back
Top Bottom