Recent content by spray

  1. spray

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Kabati la Aluminium linauzwa

    Ndugu yangu anauza kabati la aluminium, alikua anauza nguo Lipo magomeni usalama Bei laki 2 Unaweza kuuzia nguo au stationery au dawa nk nk Ukitaka njoo pm nikupe namba yake
  2. spray

    JamiiForums Tanzania Samaki aina ya lobsters na crab (live)

    Asante ngoja niwacheck
  3. spray

    JamiiForums Tanzania Samaki aina ya lobsters na crab (live)

    Habari Kuna mtu humu anadeal na hawa samaki, wakiwa live yaani unauza live live au unajua mtu anayefanya hii biashara.. Tafadhali nipe contacts
  4. spray

    JamiiForums Tanzania Team kali inahitajika kwa Kampuni ya Media

    Mi niliteseka sana na wafanyakazi ktk project moja hivi, vijana wengi wavivu hatari.. What I did nilichukua foreigner mmoja wa kiasia akawa ndio team leader, wengine wabongo, nakwambia mbona kazi ilienda hahahaha.... Maana before nilikua nikilalamika sana, baada ya kuleta muasia mambo...
  5. spray

    JamiiForums Tanzania Nahitaji karanga kwa wingi

    Karanga aina gani? Za maganda au zilizobanguliwa tayari? Unanunua kwa bei gani
  6. spray

    JamiiForums Tanzania Upandishaji wa Nguruwe kwa mirija

    Aina gani unayo, na bei ikoje
  7. spray

    JamiiForums Tanzania Olimpiki 2020 Japan (2021) tunajifunza nini

    Mimi ni mdau mkubwa wa michezo, napenda sana michezo... Kwa kipindi kirefu nimekuwa nikitazama na kufatilia sana michezo ya olimpiki, kiukweli sio tu unaenjoy mchezo lakini pia unajifunza vitu vingi sanasana toka pale viwanjani, waandaaji, washiriki, wafanyabiashara, matangazo nk nk... Mara...
  8. spray

    JamiiForums Tanzania Natafuta dealers wa tiles hapa Tanzania

    Kama unajua mawasiliano yao naomba tafadhali
  9. spray

    JamiiForums Tanzania Wizi kwenye Mataa ya barabarani

    Huyu kibaka hadi leo hii bado yupo, Mi imenitokea Mara mbili same person
  10. spray

    JamiiForums Tanzania Kwa hiki kinachoendelea TRA sasa ni kitu cha kuchukua hatua

    Sisi tumeshindwa tumenyoosha mikono juu.
  11. spray

    JamiiForums Tanzania Kikao muhimu Cha wanawake wote karibuni nyote

    Tuelezee
  12. spray

    JamiiForums Tanzania Hongera JamiiForums, Sauti yenu Imefika Wizara ya Elimu kuhusu Watoto kutokufunga Shule Likizo

    Sisi tumelipa 135,000/- Darasa la nne
  13. spray

    JamiiForums Tanzania Shule za Sekondari O-Level za day Ubungo/Kinondoni

    Habari Natafuta shule ya sekondari, ya day, nzuri inayofanya vizuri, iliyoko wilaya ya Ubungo au Kinondoni.. Please naomba kama unajua yoyote orodhesha hapa nione nafanyaje Asantee
  14. spray

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Kati ya ufundi simu na ufundi wa umeme wa magari upi unalipa?

    Simu.. Tafuta sehem yene watu wengi
Back
Top Bottom