Kati ya ufundi simu Na ufundi wa umeme wa magari upi una lipa
Ni kweli Ila nilikoseaKichwa cha habari na maudhui haviendani kabisa
Yaani lengo langu ni kupata uzoefu kwanza mtaani baada ya hap naenda chuoHakuna msaada tafuta Ada ya masomo tu
Nenda veta wapo vizuri sana, mtaani utapata shida watakutuma mpaka unakuja kuijua injini na mifumo kingine kama ya Umeme unaweza ukatumia zaidi ya miaka minne. Magereji mengi mafundi wanataka vibarua hawatakufundisha, labda itokeee gereji ya mjomba ako, na mishe nyingi za magari uwa ivyoWakuu Nilikuwa nataka kujifunza ufundi magari kitengo cha umeme wa magari nilikuwa Naomba mwenye garage anisaidie au kama Kuna MTU anafahamiana Na mwenye garage 0622706319