Recent content by spoa

  1. S

    JamiiForums Tanzania Uwezekano wa kuhama Mfuko wa Hifadhi ya Jamii

    Teh teh sasa unajisfia kuhama mfuko badala uendeleze uanachama wako utaweza kuqualifie huko kuwa pensionable? Maranyingine u vulnerability tunautafuta wenyewe
  2. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri Kozi fupi ya kusoma

    Kasome Tally accounts package + clearing and forwarding management 6 month itakutoa.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mafao Shirika la Posta Tanzania (TPC)

    Ntafute nkusaidie 0689291812
  4. S

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini mashirika ya uma yanakuwa hivi

    Washaitwa kazini hao Fanya mambo mengine
  5. S

    JamiiForums Tanzania LAPF, PSPF, PPF, GEPF, NSSF ipi ni bora katika kuwa mwanachama

    Usidate na majengo angalieni quality ya service kwa wanachama
  6. S

    JamiiForums Tanzania LAPF, PSPF, PPF, GEPF, NSSF ipi ni bora katika kuwa mwanachama

    Ppf mfuko bora mtu ukichangia miaka 10 umequalify kuwa pensionable ila Nssf mpk 15 years ni sheeda angalieni wakati wa kuchagua mfuko
  7. S

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata Internship, Volunteering, Temporary job or Permanent job

    Hivyo vyuo vimefanyaje perry?
  8. S

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata Internship, Volunteering, Temporary job or Permanent job

    Nilitima application letter + CV yangu na Testimonial
  9. S

    JamiiForums Tanzania Nafazi za kazi NMB!

    Pale kama huna mtu ndy basi
  10. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi kwa mtu wa accountw and microfinance

    Mzibhazi tupia email yako nkutumie CV zangu juu ya hy post yako
  11. S

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata Internship, Volunteering, Temporary job or Permanent job

    Mimi nina degree ya Sociology nafanya intern Ppf kama customer relation personnel nahitaji kupata new exposure ktk new sehem nyingine ili niongeze ujuzi zaidi nipo Tayari kufanya kazi popote
  12. S

    JamiiForums Tanzania Assist me finish this dissertation

    Ntafte nkusaidie 0689291812
  13. S

    JamiiForums Tanzania Tunakoelekea mmmh! (Only DIT, UDSM, IAA and Mzumbe graduates)

    Hamna kitu ww na Udsm yako unayo iita bora umechangia nn nchini? Chuo chenyewe kila prof na Dr anataka kuwa mwanasiasa Duuh tutafika kweli? Udsm imebaki Jina tu nikwamba kilikuwa not now
  14. S

    JamiiForums Tanzania Nina masters ya management ila nashangaa kazi imekua ngumu kupata

    Kaombe kufundisha vyuo vikuu
  15. S

    JamiiForums Tanzania Business idea

    Upo mkoa gani?
Back
Top Bottom