Jinsi ya kupata Internship, Volunteering, Temporary job or Permanent job

Jinsi ya kupata Internship, Volunteering, Temporary job or Permanent job

mimi siafiki internship wala volunteering, utafanyeje kazi bure. Si bora ufuge kuku au sungura ule nyama na mayai mradi ukiongezeka ufaidike na uanze kuajiri,
Watu mnaogopa kuchafuka.



Hao kuku/sungura atawanunua na kuwalisha kwa maneno matupu???????
 
Kuna tofauti kubwa kati ya ulichosoma na kazini. Internship inasaidia kuondoa hizo tofauti na pia kujua idara inayokufaa kati ya vingi ulivyosoma. Huyo anayepinga internship namuonea huruma.
 
Acha umburula! Maneno toka lini yakanunua kitu.
Kuku unapata hadi kwa buku mbili, wacheni usharobaro na uvivu.
 
Back
Top Bottom