Ndugu zangu wanajamvi wenzangu mimi kuna jambo lanishangaza sana kwasababu utakuta mashirika mengi ya uma wantangaza nafasi za kazi alafu huchukua muda mrefu kuwaita watu kwenye interview au wanawweza kuwaita kwenye written interview alafu ukututa kimya muda mrefu sana mpaka kuitwa kwenye oral interview kwa mfano wale tuliofanya interview ya TTCL pale elimu ya watu wazima karibu na Chuo cha CBE Dar mpaka leo kimya, why? labda kama kuna mwana jf anaweza kufafanua hilo msaada tafadhali, naomba kuwsilisha tafadhali
:teeth:
:teeth: