Recent content by spirit255

  1. spirit255

    MSAADA WA JINSI YA KUANZA KUUZA BIDHAA KWENYE MA SUPER MARKET

    Habari wana jamvi, Naombe msaada wa namna/ hatua za kufuhata kuanza kuuza mazao kwenye super market baada ya kuvitoa sokoni, Je natakiwa nifuhate hatua zipi?
  2. spirit255

    Ushauri kutoka kwa wataalamu wa mambo

    chief appostel mtalemwaaaaaaaaaaaaaaaa
  3. spirit255

    Serikali ya Botswana yapiga marufuku Nabii Buishiri kuingia nchini humo

    Mtoa mada, Mada yako mbona inaonekana ina uchochezi Fulani,Tueleze kazuiwa kwa sababu gani?, Pili unataka kutuelezza kwama makanisa ya ECG wanamuabudu Bushiri? Tatu, Unatambua kwamba umasikini ni chanzo kikubwa cha mtu kuingia kwenye majaribu ya dhambi? Naunga mkono hoja ya mkristo kuwa tajiri...
  4. spirit255

    IF YOUR IN FASHION INDUSTRY, JOIN INHB WORLDWIDE

    Instagram: theinnovationhouse14 Join US if you are serious. THE INNOVATION HOUSE BRAND WORLDWIDE Established in 2014 with a vision to deliver the highest level of dedication and professionalism; Our focus is to build careers for models, Actors,Musician,Designers and Creatives, to oversee every...
  5. spirit255

    INAUZWA Pikipiki laki 9 na nusu

    Habari Husika na kichwa hapo juu, Kwa yoyote anae hitaji pikipiki, Bei ni Laki 9 na Nusu, Tafadhari tuwassiliane kwa namba ifuhatayo +44 7452 925919 WhatsApp. Haijawai kutumika kama bodaboda, Inanyaraka zote za msingi, Haidaiwi, Imetumika kwa kipindi cha muda wa mwaka mmoja. Eneo ilipo ni Wazo...
  6. spirit255

    Pikipiki inahitajika

    Habari Husika na kichwa hapo juu, Kwa yoyote anae hitaji pikipiki, Bei ni Laki 9 na Nusu, Tafadhari tuwassiliane kwa namba ifuhatayo +44 7452 925919, Sanmahani sijajua jinsi ya ku upload picha hapa jamii forum lakini unaweza kunicheck WhatsApp +44 7452 925919 ili nikutumie picha ya pikipiki...
  7. spirit255

    Pikipiki inauzwa Laki 9 na Nusu , Used (Haina zaidi ya mwaka) Haina tatizo lolote

    Habari, Husika na kichwa hapo juu, Kwa yoyote anae hitaji pikipiki, Bei ni Laki 9 na Nusu, Tafadhari tuwassiliane kwa namba ifuhatayo +44 7452 925919, Sanmahani sijajua jinsi ya ku upload picha hapa jamii forum lakini unaweza kunicheck WhatsApp +44 7452 925919 ili nikutumie picha ya pikipiki...
  8. spirit255

    samsung Tablet american version

    Samsung SGH TABLET ipo katika hali nzuri sana inasoma 4g ni american tablet ukubwa wake ni nusu kioo cha laptop kwa urefu na upana, Inaingiza laini, Ina firewall, Ina 16gb internal, Ina uwezo wa kukaa masaa 6 ikiwa on 4g na masaa 12 ikiwa inafanya kazi kwa airplane mode, Bei ni laki 3 na 50...
  9. spirit255

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Samsung SGH TABLET ipo katika hali nzuri sana inasoma 4g ni american tablet ukubwa wake ni nusu kioo cha laptop kwa urefu na upana, Inaingiza laini, Ina firewall, Ina 16gb internal, Ina uwezo wa kukaa masaa 6 ikiwa on 4g na masaa 12 ikiwa inafanya kazi kwa airplane mode, Bei ni laki 3 na 50...
  10. spirit255

    Wauzaji wa bidhaa za forever living mnaboa sana!

    Wanafanya hivyo kwa sababu wanajinua hawakubariki
Back
Top Bottom