Je, Kuna ukweli kuhusu uvumi wa magari aina ya range rover miaka ya 1980s?

mume wa mtu

JF-Expert Member
Aug 11, 2015
653
386
Wakati tunakua,kulikuwa na uvumi kwamba magari aina ya RANGE ROVER ndio yalikuwa magari yenye kasi kuliko yote kwa wakati huo kiasi kwamba yalikuwa hayaruhusiwi kupaki karibu na benki,je uvumi huu ulikuwa na ukweli? wowote?
i026787.jpg
maxresdefault.jpg
 
Naona nimekosea kichwa cha habari,kilitakiwa kisomeke wakati mimi nakua miaka ya 80 maana kila mtu ana miaka yake hapa ya makuzi ndio maana wengine wanaleta habari za bugatti,ferrari.ndugu zangu hii habari tumeikuta wakati tunakua miaka ya 80 sijui ilianzia miaka gani?
 
kama benk haviruhusiwi kukaa vitu viandavyo kasi basi nadhani tusifikirie magari kwa sababu farasi ana mbio kweli.Hamjui kwanini kuna measurement ya hores power?.mwisho kabisa nauza farasi wadogo ila sio uje uchukue ufanyie wizi...
Lakini ninavyojua horse power sio kasi,kipimo cha horse power ni nguvu maana farasi ni moja ya wanyama waliotumika kwenye kazi hasa kazi za nguvu.
 
Back
Top Bottom