Ndugu yetu Koba, naomba unifahamishe kidogo, kwani nyie wanyarwanda kila mtu ana ID? Hata hivyo uelewa wangu nchi yenu na idadi yenu ni ndogo kama mkoa mmoja tu wa Tanzania!?
Sorry, thought you were a 'native english speaker' and that you would understand what I meant! I would like to insist that you are indeed a cheeky twat!
Indeed, english is widely spoken globally but that would not make me envy what I would call 'Kenyan english'! Neither would I like to learn or listen to 'Kenyan Swahili'!
Spot on! I know nothing about that! Could you kindly please enlighten me since english is not only your native language but also a highly valued language than any other language in your slave-minded society!
Hehehe! Have you ever wondered why the native English language speakers would always ask you what language do you speak in your country? Well, I reckon you would not even know why!
Tafsiri ya kimada ni: 'mtu anayekitukuza kiingereza hata kuliko waingereza asilia'. Karibu Tanzania "kimada" wetu smatta. Naona hupendi kurudi kwenu tokea kipindi kile cha vurugu zenu za uchaguzi.
Kanyabwoya, achana na huyu Smatta.....tokea akimbilie Tanzania mwaka 2007 hataki kurudi kwao. Kwahiyo atabwabwaja sana hapa.... Kwani hujui karibia asimilia 90% ya ardhi ya Kenya inamilikiwa na the Kenyattas, Moi's....na ma-settlers?
Usiseme kuwa Kenya hamna ardhi! Ardhi mnayo ila inamilikiwa na watu wachache walioamua kuipora ardhi kutoka kwa wananchi masikini. Majority ya Wakenya wanaishi kama second class citizens ndani ya nchi yao! Ndio maana Wakenya kama akina "Smatta" wanabwabwaja sana ndani ya Tanzania kwani hali kama...
Usiseme kuwa Kenya hamna ardhi! Ardhi mnayo ila inamilikiwa na watu wachache walioamua kuipora ardhi kutoka kwa wananchi masikini. Majority ya Wakenya wanaishi kama second class citizens ndani ya nchi yao! Ndio maana Wakenya kama akina "Smatta" wanabwabwaja sana ndani ya Tanzania kwani hali kama...
Sounds interesting! I thought people from East-Africa would be scrambling to enter Kenya the largest economy in the region, that is full of milk and honey (as you have been claiming)! What a turn around of events! Halafu wewe ndugu yangu Koba, mbona Tanzania imekuwa ikiwahifadhi wanyarwanda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.