Mkenya kuhukumiwa kwa wizi Michigan | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkenya kuhukumiwa kwa wizi Michigan

Discussion in 'International Forum' started by Ab-Titchaz, May 11, 2010.

 1. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #1
  May 11, 2010
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Kenyan immigrant pleads no contest in identity theft case

  By Danielle Quisenberry
  May 07, 2010, 10:49AM

  A 30-year-old Kenyan immigrant pleaded no contest Friday to two charges of possession of "personal identification information" to commit identity theft.

  Blackman Township Public Safety Officer Chris Pohl arrested Philip Githuku Macharia Oct. 5 after Pohl found credit cards, copies of driver licenses, Social Security, and insurance cards or other information in a laptop computer bag, Director Mike Jester earlier said.

  Pohl had stopped Macharia on I-94, found Macharia had an outstanding warrant, and, with his consent, searched the rented vehicle he was driving.

  The information belonged to several people who stayed in Grandhaven Living Center, an assisted living facility in Lansing, and had medical conditions that prevented them from making decisions for themselves. Authorities believe Macharia may have gotten access by knowing an employee or employees there, Assistant Prosecutor Jared Hopkins said.

  Macharia pleaded no contest to two of six counts of the possession of personal information charge, a felony with a maximum penalty of five years in prison. The Jackson County Prosecutor's Office is dismissing the other charges.

  Hopkins said two of the victims have died, and tracking down all the relevant people to speak on behalf of their estates and the other victims could be difficult if the case were to proceed to trial.

  Circuit Judge Thomas Wilson is to sentence Macharia June 24.

  His lawyer, Alfred Brandt, said Macharia has a green card, but could be deported as a result of the convictions. There will be an immigration hearing, Brandt said.

  At the time of his arrest, Macharia had an Inkster address and said he was on his way to Wixom from an out-of-state baby shower, police said.

  http://www.kenyadiasporanetwork.com/all-news/news/337-green-card-holder-in-michigan-to-be-sentenced-for-theft-


  http://www.mlive.com/news/jackson/index.ssf/2010/05/kenyan_immigrant_pleads_no_con.html


  P.S. Huyu bwana nilikua namjua personally na nilikua nashangaa sana na hela aliokua nayo ya kununua ulabu kila siku. Kumbe ni mwizi wa identity za watu. Arobaini yake imefika na najua INS watamshusha Nairobi akishatumika kifungo.Hio safari ya out of state nami niliikosa kidogo kwa sababu za kikazi maana jamaa walikua wanaenda Kansas kuhudhuria baby shower ya mshkaji f'lani kutoka bongo. Life can be a mother.....!
   
 2. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #2
  May 11, 2010
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Wakenya wote wanaofanya kazi katika hii nursing home inabidi wawe waangalifu maana watabishiwa hodi iwapo bado. They can be regarded as the only link between this guy and the old people they take care of.

  Kazi ipo.
   
 3. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Abuu na wewe ni suspect..lol..

  Nway, hawa wakikuyu bana aarrrgh ..ngoja niishie hapo.
   
 4. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #4
  May 11, 2010
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Mkuu,

  mimi safi kama pamba na hizi ishu. Hela yangu yote ni halali.

  Huyu bwana nakumbuka kile kipindi baada ya kura na fujo kule Kenya alikuja na kali
  moja kua kabila linaloruhusiwa kutawala Kenya ni wakikuyu pekee yao. Eti wa-Kalenjin
  wanafaa kwa riadha peke yake na wajaluo ni wavuvi tu. Makabila mengine kama
  waluhya wanapaswa kua askari gongo tu. Nilimshangaa sana maana I expected a better
  perspective from a Kenyan National in the diaspora.Kumbe wapi, ni mkabila namba moja
  kisha ni mwizi....Lau angalijua angetutaarifu pia kua wakikuyu ni wezi lakini nadhani
  God was going to take care of that.

  Itabidi niende ghetto yake hapa mitaa ya Inkster nikaangalie kama mtu amemiliki mali zake.
  Jamaa alikua na bonge la flat screen TV na surround system bomba...hivi vifaa vinahitaji
  mmiliki eti..LOL!..Im just kidding. Amekaa jela m'da mrefu sana, tangia mwaka jana na
  nadhani mwenye nyumba kabadili kufuli.

  Hii ndio imetoka.
   
 5. Nyaralego

  Nyaralego JF-Expert Member

  #5
  May 11, 2010
  Joined: Nov 13, 2007
  Messages: 732
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35


  ABT unachekesha sana...This particular kenyan thought that that he was invincible... Kazi kweli alikuwa anajigamba sio...Akirudi NAI atakuwa mungiki
   
 6. Smatta

  Smatta JF-Expert Member

  #6
  May 11, 2010
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 2,343
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  AB you are guilty by association, inaonekana mlikuwa mnafahamiana sana, stay clean homes.
   
 7. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #7
  May 11, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  alifikiri yuko tz, manake hapa ndo wanajimwaga wapendavyo, wanazo hadi passport za tz, wananunua mashamba huko mufindi kama hawana akili nzuri. dunia nzima inawashtukia wakiwa na wanijeria.
   
 8. N

  Nanu JF-Expert Member

  #8
  May 11, 2010
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,224
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Jamani wizi hauna kabila!!!! Siku hizi karibu kila kabila kuna mwizi. Lakini ukweli utabakia kuwa kuna makabili zenye choyo na wivu sana na wanaamini kuwa wao ndiyo wanatakiwa kuwa nayo tu kwa gharama yoyote!! KUs inclusive?
   
 9. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #9
  May 11, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Wakuu wakenya ni wanaijeria wa East Africa. Nimekaa Kenya miaka hiyo, wana roho mbaya sana. Yaani ukiishi kule ni sawa na huko majuu kwenu tu. Jirani next door is like a distant cousin residing in Europe or America!!! Kwanza wanawachukia sana wa Tz, wanatuita washamba!!!! Wameshatufanya hata dumping markets kwa sub-standards industrial goods!!! Na wanasema hadharani kabisa!!! That is why hata mpaka mwisho wa dunia au kuishi kwangu I will not favor any kind of cooperation in East Africa as long as Kenya is a member! And I tell you the marriage we are forcing now to the so called East Africa Federation will end up in a bitter divorce!

  Wakuu hata wezi wakubwa wa mabenki, the jambaziiiiiis si ni wakenya hapa Tz!!!!! Zile kesi zote za ujambazi mkubwa wa mabenki, ring leaders ni Wakenya, wa Tz and a few ungandans!!! Pity. Ningekuwa na uwezo ningeifuta Kenya East Africa!
   
 10. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #10
  May 11, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Sasa mnangoja nini si muwafichue na kama mnao ushaidi tuleteeni tuufanyie kazi ikiwa nyie mmeshindwa
   
 11. Smatta

  Smatta JF-Expert Member

  #11
  May 11, 2010
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 2,343
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Kenyans are Hustlers, you must understand that unlike you, we dont have vast lands and minerals to sell so that we can sustain our lifestyles, thus people tend to do anything for paper, negative or positive. That part in bold left me dying, hauna uwezo hata yakuikomboa nchi yako toka umaskini, utafikiriaje kuifuta KE East Africa, get your priorities right, educate your people then you can dream about erasing Kenya.
   
 12. S

  SpinDoctor Member

  #12
  May 11, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Usiseme kuwa Kenya hamna ardhi! Ardhi mnayo ila inamilikiwa na watu wachache walioamua kuipora ardhi kutoka kwa wananchi masikini. Majority ya Wakenya wanaishi kama second class citizens ndani ya nchi yao! Ndio maana Wakenya kama akina "Smatta" wanabwabwaja sana ndani ya Tanzania kwani hali kama hiyo haipo nchini kwao Kenya. Eti wanajiita "Hustlers"! Hustlers?! My foot....
   
 13. S

  SpinDoctor Member

  #13
  May 11, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Usiseme kuwa Kenya hamna ardhi! Ardhi mnayo ila inamilikiwa na watu wachache walioamua kuipora ardhi kutoka kwa wananchi masikini. Majority ya Wakenya wanaishi kama second class citizens ndani ya nchi yao! Ndio maana Wakenya kama akina "Smatta" wanabwabwaja sana ndani ya Tanzania kwani hali kama hiyo haipo nchini kwao Kenya. Eti wanajiita "Hustlers"! Hustlers?! My foot.... ​
   
 14. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #14
  May 11, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Pengine tukubaliane na ukweli kuwa "mi Afrika ndivyo tulivyo! (japo si wote!).

  Ukiacha huyu mkenya na watu kama akina Dr. Mponjoli (Tz), wapo vijana wengi tu wa Kitanzania ambao waliaga nyumbani kwenda kutafuta maisha labda kwa kusoma nk katika nchi za Ulaya na Marekani na kwengineko kwa hisia kuwa maisha ni bora lakini leo unakuta hawataki kukiri ukweli kuwa "wameshindwa kutimiza malengo na pia kumudu maisha". Wengi hawana taaluma waliyoende, wanaishi katika mazingira magumu na pengine kinyume cha sheria, wengine "wamejiripua" ilimradi waendelee kuishi huko.

  Hawana mwelekeo wowote kimaisha, wanaishi kwa kuvizia maisha kama ndege wa angali, leo kaonekana hapa kesho kule..ilimradi aonekane yupo Ughaibuni. Ndio wa staili hiyo ya akina Githuku Macharia, wanapenda kuwa na marafiki wengi ambao hawana mtazamo mzuri, wanaishi kwa utapeli na wizi ikiwemo kwa kadi za benki za watu kama "vichanjo" nk . Japo kuwa hali ni mbaya katika maisha yao ughaibuni, hawataki kurejea kama "mwana mpotevu" kwa wazaiz, wengine wanadanganya wazazi wawatumie matumzi na ada kuwa wapo vyuoni kumbe wanaishi maisha ya kubangaiza na kila kukicha wanataka maisha yawe ni starehe tupu (kula Bata).

  Tabia hizi za kuvizia maisha zimetuharibu sana hata sisi Watanzania, hatuwezi kujifunza, na ndo mana hata mtu akiwa ughaibuni ambapo angejifunza maisha ya wenzake huko, hata akirejea nyumbani unakuta mambo yake ni yale yale ya zamani ya kutaka starehe tuuu hata bila kufanya kazi, anataka kwenda baa, club na kwengineko, anataka kuendesha gari zuri akiwa na mwanamke au mwanaume mtanashati lakini mfukoni hana hata hela ya kununua lita ya mafuta wala maji ya paketi yale ya Azam!.

  Kelele nyingiii za kutaka kujionyesha kwa watu pasipo kujua maisha yanazidi kuharibika, umri unakwenda kasi na nguvu zatuishia wakati majukumu nayo yanakabili!. Kama ulitoka kijijini kwenu ukenda mjini kutafuta maisha, yakikushinda ni bora urejee kijijini kuliko kuendelea kuishi kwa tambo na kupenda "kufunikwa funikwa" ili upate mkate wa kila siku ambao si halali kwako!
   
 15. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #15
  May 11, 2010
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Thats exactly how he thought he was. He could buy up a bar and no questions asked. Anapenda misifa
  kana kwamba yuko Karumaindo anafurahisha njamba wenzake.

  Wrong move.
   
 16. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #16
  May 11, 2010
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  ...well said mkuu.
   
 17. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #17
  May 11, 2010
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Bro,

  I keep my nose clean on such issues.This guy is lucky the Feds didnt pick this case up
  maana the sentence would have been longer than the 2-5yrs they are talking about.

  Why didnt he let my boy (A Tanzanian) who had accompanied him to drive? Why risk a
  long round trip from Michigan to Kansas driving while you have a warrant out for your arrest
  on a previous conviction? Drinking and driving while speeding do not go well in the State
  of Michigan which is known for its intolerance of drunk drivers...unless of course unaishi
  Detroit. Kisha why carry all those credit cards and peoples identities on your person yet you
  know very well those are 'hot commodities'?

  As Nyaraelgo put it, the guy thought he was invincible and had let his guard down. For that
  he has lost a house with all the trappings of luxury in it, a four wheel drive Durango truck
  and above all his freedom to hustle like you love to call it.

  Have a crime free day.
   
 18. m

  miss annie Member

  #18
  May 11, 2010
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :target:
   
 19. m

  miss annie Member

  #19
  May 11, 2010
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  atakoma,kama huku german wamejazana saana na maisha yao ya shida mnooo
   
 20. b

  bwanashamba Senior Member

  #20
  May 11, 2010
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 193
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nampa pole ila tamaa mbaya sana
   
Loading...