Recent content by Speston Guy

  1. S

    JamiiForums Tanzania Pikipiki zapigwa marufuku Addis Ababa

    Ndio matatizo ya kuto tembea na nchi nyingine, ww endelea kuishia bongo tu ubongo wako ugande.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tahadhari ya kimbunga yatolewa Mtwara, wafanyakazi na wanafunzi waagizwa kusalia majumbani

    Haya bosi kimbunga kiko wapi?? TMA tunaijua wewe ukajifanya kusema eti nina furaha wakati nilijua kuwa hapo hamna kitu. Ila pole yako.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tahadhari ya kimbunga yatolewa Mtwara, wafanyakazi na wanafunzi waagizwa kusalia majumbani

    TMA hamkawiagi kusema upepo umekimbizia mvua kenya😂😂😂
  4. S

    JamiiForums Tanzania IMF Report on Tanzania: Hiki ndicho ambacho watanzania hawakupaswa kujua

    Pole Tanzania.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Tahadhari ya Ukame na Joto Kali yatolewa wa nchi ukanda wa Afrika Mashariki

    😂😂😂😂😂 na kweli
  6. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania kusitisha Mkataba wa Uwekezaji baina yake na Uholanzi

    Yajayo yanafurahisha😂😂😂 mko tayari??
  7. S

    JamiiForums Tanzania Serikali yasimamisha leseni ya uchapishaji na usambazaji ya gazeti la 'The Citizen' kwa siku 7

    Hata zimbabwe style ilikuwa hiyohiyo ila matokeo yake nadhani kila mtu anajua. Anyway yajayo yanafurahisha.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Bodi ya filamu yamuondolewa Wema Sepetu adhabu

    Mfungulie tu huyo Kahaba maana hakuna namna ila 2020 atagombea ubunge kwa tiketi ya ccm singida.
  9. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uganda issues Shoot to Kill orders for kenyan Pastrolists who cross the border into Uganda

    Jiwe mwenzako hata wananchi mkifa mfe tu yeye hataki tu kukoselewa, kwake hata wananchi wakifa we pongeza tu hapo atakuelewa.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mwanangu wa miaka 9 amekutwa na Virusi vya UKIMWI, sijui amevitoa wapi?

    Walokole wana mbwebwe balaa
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mwanangu wa miaka 9 amekutwa na Virusi vya UKIMWI, sijui amevitoa wapi?

    Pole sana ila jipeni tu moyo.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kundi la wachawi lamuombea Rais Putin

    Huko wanaombewa na wachawi ila huku kwetu maraisi wenyewe ndo wachawi.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Benki Kuu ya Tanzania(BoT) yahamisha Mali na Madeni ya Bank M kwenda Azania Bank Ltd

    Hakika uchumia unakuwa kwa kasi sana, ndege tunaendelea kuleta, korosho tunanunua na matrafic wanakusanya hela mpaka wanang'ata madereva🤣🤣🤣🤣
  14. S

    JamiiForums Tanzania Sh. Bilioni 13.9 kukarabati Bombardier nchini Canada

    🤣🤣🤣🤣🤣 kweli yajayo yqnafurahisha.
Back
Top Bottom