Pikipiki zapigwa marufuku Addis Ababa

Pikipiki zapigwa marufuku Addis Ababa

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,622
Reaction score
8,427
Katika mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa, matumizi ya pikipiki yamepigwa marufuku kutokana na kuongezeka kwa matukio ya jinai na wizi.

Mkurugenzi mkuu msaidizi wa mji wa Addis Ababa, Takele Uma amesema kuanzia mwezi Julai, pikipiki zimepigwa marufuku kwa watu wote isipokuwa wafanyakazi wa posta na wawakilishi wa misheni za mji huo.

Uma alisema wamechukua uamuzi huo ili kukabiliana na vitendo vya uhalifu vinavyofanywa na watumiaji wa pikipiki.

Wiki iliyopita nchini Ethiopia Intanet ilizimwa ili kukabiliana na wizi wa maswali ya mitihani.
 
Yaan uzime internet kwaajili ya wizi wa Mitihani?
Mbona awamu ya tano hapa nyumbani hawajazima internet na Mitihani haivuji hovyo hovyo?

Hawajawa serious tu, Mitihani uthibiti wake ni matashi ya kisiasa. Sasa wapambane mnapoteza uchumi na biashara eti kisa Mitihani ambao mkiwatoa Watu wawili watatu kitaifa sadaka biashara imeisha
 
Ndio matatizo ya kuto tembea na nchi nyingine, ww endelea kuishia bongo tu ubongo wako ugande.
 
Katika mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa, matumizi ya pikipiki yamepigwa marufuku kutokana na kuongezeka kwa matukio ya jinai na wizi.

Mkurugenzi mkuu msaidizi wa mji wa Addis Ababa, Takele Uma amesema kuanzia mwezi Julai, pikipiki zimepigwa marufuku kwa watu wote isipokuwa wafanyakazi wa posta na wawakilishi wa misheni za mji huo.

Uma alisema wamechukua uamuzi huo ili kukabiliana na vitendo vya uhalifu vinavyofanywa na watumiaji wa pikipiki.

Wiki iliyopita nchini Ethiopia Intanet ilizimwa ili kukabiliana na wizi wa maswali ya mitihani.
IKIWA ZUIO LA PIKIPIKI MJINI ADDIS LITAFANIKIWA KUPUNGUZA UIZI, BASI NA MIJI MINGINE UKANDA HUU WAENDESHA PIKIPIKI TUNUNUE PHOENIX ZETU MAPEMA KABLA BEI HAZIJAPANDA.
 
Back
Top Bottom