Recent content by specter

  1. S

    Natafuta Canter ya kubebea mizigo yangu kwa wiki Tsh. 200,000 Arusha

    Natafuta canter nibebee mizigo yangu Arusha mjini, dereva wangu, mafuta yangu kwa wiki nalipa laki mbili kwa mmiliki wa gari kazi ni endelevu. Mwenyenalo tuwasiliane 0686457546
  2. S

    Nini maana ya Professor na Doctor(PhD)?

    Marekebisho kidogo Obama (na mkewe pia) na Clinton hawana PHD ila wana J.D ( Juris Doctor) ,ambayo unapata baada ya kutoka law school kwa apa tanzania tungewaita maAdvocate
  3. S

    Wajuzi wa mambo, Puma energy Tanzania ltd ni kampuni ya serikali?

    Serikali ilikua inashikilia asilimia 50 ya BP Tanzania ,BP wakauza biashara kwa Puma energy Tanzania ,kwaiyo saivi wamiliki ni Puma na serikali ..nusu kwa nusu , nadhan walikubaliana serikali itashikilia haki ya kuteua chair wa bodi. Note hii Puma tz ni subsidiary ya Puma international , kila...
  4. S

    Humphrey Polepole: Rais Magufuli hafurahishwi na mjadala wa kuongezewa miaka ya Urais kutoka 5 hadi 7

    Pilger's law: 'If it's been officially denied, then it’s probably true'
  5. S

    Nahitaji mashine za kupokelea malipo kwa mastercard

    Kwa jina inaitwa EFTPOS (electronic funds transfer at point of sale) pia uwajaribu bmtl
  6. S

    Nifanyeje Rejesho la Mkopo linaponishinda?

    File for bankruptcy...your debtors will get a court order not even to contact u...if u meet qualifications..onana na mwanasheria uone inaendaje hii
  7. S

    Weekly Trading Forecasts on Major Pairs (March 7 - 11, 2016)

    Hi there, am new to trading currency i wanted to get an idea of how vibrant it is in tz..
  8. S

    Njoo tuzungumzie kuhusu Marketing kwa pamoja

    Dah kwel kampuni za kibongo wanaweka effort kidogo sana kwenye marketing.. Angalia kampuni kama coca cola miaka almost 130 bado inadunda sokoni...si kwamba wana product nzuri kuliko wa2 wengine (debatable) ila its a matter of great marketing effort...fanya kazi na multinational company then...
  9. S

    Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

    alternative nyingine ni kutumia UC mini browser, ukisearch video ya youtube inakuuliza unataka udownload au kuplay.Download yake iko very fast jana tu nimedownload video law of sucess ambayo ni masaa mawili very easily! limitation Kuiplay iyo video unaingia kwenye downloads ndo inaplay...
  10. S

    Vijana 5 wanahitajika

    vijana waliotajwa hapo juu kwa lengo la kuuza vitabu kwa kuvitembeza malipo sh 80,000 kwa mwezi.kwa maelezo zaidi tuna meseji namba 0754 870 398 ,andika jina umri na mahali unapoishi tunapatikana Dar es Salama VIGEZO: -Awe mchangamfu -Uwe na mdhamini 1,na awe mzazi au ndugu
  11. S

    Msaidieni rafiki yangu, maisha magumu

    weka mamba ya sim
  12. S

    Lori aina ya BENZ LINAUZWA

    used lorry aina:mercedes benz model:1114 liko katika hali nzuri , linafaa kwa biashara ya kusafirisha mizigo mikoani n.k mawasiliano 0754 311 336 0654 371 337 liko dar
  13. S

    Ushauri kuhusu mtandao wa ttcl: Wired broadband

    Alternative nyingine ni microwave, unaweza kutembelea website zoom tanzania upande wa telecom kuna kampuni zina enterprise solution nyingi
  14. S

    Ushauri kuhusu mtandao wa ttcl: Wired broadband

    Kwa ulimwengu huu sishauri wired connection alternatives unaweza kwenda na wimax iko vizur sana japo cost itaongezeka kidogo
Back
Top Bottom