Eldoret imepandwa miti ndio maana hali ya hewa imebadilika. Kwa kifupi Kenya wanapanda miti na wameijenga miji yao kwa mipangilio mambo ya kusingizia mazingira kuwa sababu ni no use. Kisumu inamatch Mwanza kwa aspect zote inaonekana jema zaidi sababu wanapanda miti. Bukoba ile ingekuwa Kenya ni...
Kenya ni wazuri sana katika mazingira wanapanda sana miti. Ukiwa unatokea Tanzania mpaka wa Silari kwa Kenya Isibainia ukianza tu kuingia Kenya mazingira yanabadilika wakati mazingira na geographical position ni ileile, sababu wako makini na mazingira
Kuna maeneo mengi sana Tanzania naturally...
If Kisumu was elevated to city status? Mwanza and Arusha deserve too, they equal Kisumu. What I'm suprised is to learn Eldoret and Nakuru are not cities. While Mbeya is one of the city in Tanzania, frankly speaking Eldoret and Nakuru surpass Mbeya city by far not even close
Kenya na Uganda ziko more populated kwa kufuata uwiano wa watu na ardhi yao kwahiyo zinatakiwa kuwa na cities nyingi pia. Kenya population yake ya watu milioni 40 kwenye ardhi yake ni sawa na Tanzania kuwa na watu milioni 85 kwenye ardhi yetu kufeel the same pressure yao kwa sasa. Eldoret na...
Huyu mbwa ni aina ya Greyhound walifugwa na kuzalishwa kwa ajili ya mashindano huko ulaya na Marekani ya kaskazini maana ni wembamba na wana miguu mirefu yenye nguvu nafikiri Afrika hatuna, Afrika tuna German Shepherd maarufu kama mbwa wa polisi ambao hata mie nawapenda wako cute na wanafanana...
Wazungu hawana muda wa kushangaa mtu anatembea na mbwa wazungu huvutiwa na akili zaidi ya mtu wakiongea na wewe wakijua uko fit upstairs wanakuheshimu hii ya vitu umevaa nini unaendesha nini au una mbwa unapita naye ni wamarekani weusi ndo utawavutia wazungu hawana huo muda they have seen all...
Argument yako iko shallow mtu akiwa mfu case study haitumiki? Elimu za chini ya mwembe hizi zinatuletea shida Tanzania. Uwezo wako wa kureason uko finyu rudi darasani ukaelimike upya
Argument yako iko shallow mtu akiwa mfu case study haitumiki? Elimu za chini ya mwembe hizi zinatuletea shida Tanzania. Uwezo wako wa kureason uko finyu rudi darasani ukaelimike upya
Ukumbuke pia huyo huyo unayemsifia ni jasri kwakuwa ana confidence ujue pia ni player na wewe hutakuwa wa kwanza wala wa mwisho kuna mahusiano makubwa ya mwanaume aliye na confidence nyingi kwenye utongozaji kuwa player tofauti na yule aliye na aibu maana yake hana uzoefu na vimwana, kwa maana...
Chegreyson elewa hoja hapa kuwa na nishani ya juu sio lazima uwe ulikuwa na madaraka ya juu kinachoangaliwa ni mchango wako. Mchango wa Sokoine katika nafasi yake ni mkubwa kuliko michango ya Kikwete, Mkapa na Mwinyi katika nafasi zao ndo maana uliulizwa kuwa je Thabo Mbeki na Jacob Zuma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.