Nawararua rarua

Nawararua rarua

Nani huyo [emoji2]

Spartakas come zisi wei[emoji14] [emoji12] [emoji12] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Nipo naangalia kwa makini sana iwapo anajisifia pasipo ulazima na kujikutisha kwa wasifu na kujisifia kusiko kwake. So far yuko kwenye mstari
 
We Dinazarde hebu rudi huku unisifie kidogo bana....

Njoo useme utamu wangu ulivyo mtamu kama nanasi😀.
 
malaika[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
 
Laki nne tu?

That's chump change to Mr. USA [emoji6] [emoji385] [emoji385] [emoji385]
Hahahh ndo hivyo nilitumiwa screenshot flan ya group ya whatsapp ya mambo ya mpira ndo walikua wanamuongelea kuna mtu kamgonga kwa laki 4 tena ni super star mwenzie walivyoandika ni aibu jamaa alivyokula
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom