Hao wote unaowazungumzia kuna vitu walifanya ndio ivyo vitu tunavizungumzia sasa huyo 'Judith' Bongo wako alifanya nini mpk tuanze kumuongelea au huko kuolewa mke wa pili ndio unaona issue kubwa....si umeshaambiwa aliolewa kwa sababu ya kisiasa na kidiplomasia?....unafananisha namna dunia inavyomwongelea Karl Max, Nyerere, Karume na huyo 'Judith' wako!! unadhani yupo mizani moja na hao watu?......sioni kitu hapa zaidi ya hadithi hadithi tu!!
Argument yako iko shallow mtu akiwa mfu case study haitumiki? Elimu za chini ya mwembe hizi zinatuletea shida Tanzania. Uwezo wako wa kureason uko finyu rudi darasani ukaelimike upya
