King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,866
- 24,976
Jiamini kuwa umeshaelewa. Hata kutongoza hukawii kusrma ngoja ntarudi kesho, ohooo!
Ngoja nirudie kusoma tena..
Ngoja nirudie kusoma tena..
hivi upo ww mtoto?? Mbona unapotea hivyo?
Of coz confidence is sexyyy....unakuta jamaa knows what to do na anakukaziaa hadi ukilala u be thinking ehh he got balls huyu huyuuu ndo mwenyewe...
nipo wangu! siunajua maisha tenaaa! vipi we sio domo zito?
Watoto wale visu ndo wakoje hao?mie hapo sijaelewa
hahahaaaa mm sio domo zege ngoja nikufuate kwasababu nilikuwa nakutafuta kitambo sana ww
aaaaagh usinifuate! mi nataka kufuatwa na domo zege
wee! Mm sio domo zege hata kidogo. Nina sumu mpaka mwenye utakubali
ndio wewe sio domo zege but mimi nataka kufuatwa na domo zege!
Ngoja nikusaidie;Watoto wale visu ndo wakoje hao?mie hapo sijaelewa
What a nasty definition!Yani wenye ukimwi. wanaochinja wanaume. Ni kama ukisikia mwanaume kiwembe ni yule mwenye storongo kali inayochanachana marinda ya vikojoleo na vijambio vya mabinti za watu
balls ndo scrotum ? asa day 1 tu mshafika kwenye balls kulala nn !mmh anyway potezea mamiiOf coz confidence is sexyyy....unakuta jamaa knows what to do na anakukaziaa hadi ukilala u be thinking ehh he got balls huyu huyuuu ndo mwenyewe...
balls ndo scrotum ? asa day 1 tu mshafika kwenye balls kulala nn !mmh anyway potezea mamii
ok kumbe ndo manake !hehhe lugha ya picha tu hyo...namaanisha he is confident enough
Of coz confidence is sexyyy....unakuta jamaa knows what to do na anakukaziaa hadi ukilala u be thinking ehh he got balls huyu huyuuu ndo mwenyewe...
Ukumbuke pia huyo huyo unayemsifia ni jasri kwakuwa ana confidence ujue pia ni player na wewe hutakuwa wa kwanza wala wa mwisho kuna mahusiano makubwa ya mwanaume aliye na confidence nyingi kwenye utongozaji kuwa player tofauti na yule aliye na aibu maana yake hana uzoefu na vimwana, kwa maana "action and reaction are equal but different in opposite direction" Newston Third Law of Motion
huyu hanyagi?.