Mwanamutapa
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 513
- 489
- Thread starter
- #61
Jamani mbona Riz1 ana kifaa kikali alafu kirefu kuliko yeye.
By the way,its love maana hata wasira ana dem mdogo kuliko huyo waif wako.
Urefu wa Riz1 na mkewe wanapitaka kidogo sana kama nchi mbili sio tatizo hapo na Ridhwani ni futi tano kuwa futi nne maana yake ni dwarf kwa mwaume. Judith Lucien Bongo alikuwa futi 5 10" wakati Omar Bongo ni futi 4 11" hii ni tofauti kubwa mno almost futi nzima. Tuachane na kimo tuachane na umri vipi pale mwanamke anamvulia nguo mwanaume ambaye ni mkubwa kwa baba yake miaka 8? Anajisikiaje au mwanaume anapolala na mwanamke mkubwa kwa mama yake miaka 8 anajisikiaje mithili ya yule mwanafunzi aliyeoa mbunge wa miaka 60 sijui hata kama mama yake anamthamini tena maana alikuwa na miaka 24 jambo ambalo linaonyesha mama yake atakuwa mdogo kwa umri kulinganisha na yule mbunge