Wakuu habarin,naomba tuchambue kwa kina hizi website za vyuo vikuu tz,naamini kila chuo kikuu kina site,jaribu kutizama web view,contents,functionality etc.
University of Dar es Salaam > UDSM
http://www.suanet.ac.tz/ >SUA
://www.udom.ac.tz/ >UDOM
Ardhi University >ARDHI
MUHIMBILI...
sometimes knowledge of the customer inaweza kudertimine demand of the product,right kama wangejua kemikali wanaconsume kwenye hiyo products wangethamini sana product substute ya hii bidhaa,ni sawa na kuuziwa mchele wa plastic na mchele huu wa kawaida ukakimbilia wa plastic simply bcoz uko cheap
mkuu mbona unanichanganya maana mdau wa kwanza kasema unacertify uanza kujaza upya profile,kwenye other attachment si kinakaa cheti cha kuzaliwa na passport,au syo mkuu?
Kwakweli kairuki unaboa sana kila siku umekalia kuahidi tu pamoja na mkuu wako wa kazi,naomba nijue hivi hizo ajira mnazifanyia feasibility study au mnachenjua kama makinikia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.