Wandugu nisaidieni jinsi ya kufanya attachment recruitment portal

matyazo

Senior Member
Oct 29, 2014
109
31
Habari za mihangaiko ndugu zanguni!, kuna kitu naomba msaada unajua kuna vacancy zilitoka tarehe 24 zinahitaj vyeti lakini hawajaongelea kuhusu kuhusu kuvicertify kwahiyo nilituma maombi kwa kufanya attachement upya ya vyeti ambavyo havijacertified.Sasa tatizo langu ni kwamba vile vyeti vilivyocertified mara kwanza nilividelete nikafanya attachment upya,wasiwasi wangu upo kwenye application iliopita nilitumia certified kama ilivyohitajika na jana nimeifuta nikaweka ambavyo havijacertified.Je! Hii ya kuweka vipya haitaathili maombi yangu yaliopita? Au database inasave application pale unapoomba?
msaada jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu

mkuuu hivi wanacertify vp
 
mkuu

mkuuu hivi wanacertify vp

Anaecertify vyeti ni mwanasheria anaweka muhuri wake na anasaini

Kazi yako wewe ni kuviscan na kwenda kuweka kwenye portal

Ukijaza basic information na attachments muhimu itafika 87%
 
samahani mkuu kwahiyo kwenye other attachment hata academic certificates vinawekwa hapo
 
Habari za mihangaiko ndugu zanguni!, kuna kitu naomba msaada unajua kuna vacancy zilitoka tarehe 24 zinahitaj vyeti lakini hawajaongelea kuhusu kuhusu kuvicertify kwahiyo nilituma maombi kwa kufanya attachement upya ya vyeti ambavyo havijacertified.Sasa tatizo langu ni kwamba vile vyeti vilivyocertified mara kwanza nilividelete nikafanya attachment upya,wasiwasi wangu upo kwenye application iliopita nilitumia certified kama ilivyohitajika na jana nimeifuta nikaweka ambavyo havijacertified.Je! Hii ya kuweka vipya haitaathili maombi yangu yaliopita? Au database inasave application pale unapoomba?
msaada jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
Ktk system yao we ukishaweka vyeti mara ya kwanza ndio ushaweka sio kwamba kila post unaattach vyeti vyingine unless other wise

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom