After all mpaka sasa hakuna physical evidence kuonesha muuaji halisi nani,na anayoyatapakaza yanazidi hata hayo yahusuyo uhai na yanaweza poteza pia uhai zaidi.
Tunamuelewa sana uhai una thamani isiyolinganishwa, ila haifanyi ushindwe kukili na yaonekanayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Lisu ana point gani muhimu sasa,ana tapatapa tu hataki hata kuona mazuri yaliyofanyika anakandia tu,ametapa tapa sana kwenye hard talk
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa aliyezaliwa Tanzania huyo si tayari raia by birth au wanawafukuza kina nani maana asilimia kubwa ya wazazi wao hawapo dunian
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana na wewe mkuu,maana kuna demostration plot ya zabibu hapa SUA sidhani kama mhitimu wa kawaida bila uwezeshwaji anaweza kumudu kufanya baada ya kuhitimu,it looks expensive..elimu zetu zinabaki kwenye maandishi ,,so sad
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi elimu kama tunabeti tu mkuu,si ndo hivyo? Hata lengo la kutufanya tulime kwa teknolojia zaidi ya wakulima was kawaida halipo?? Kweli tunapaswa jipanga sanaa
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.