Kijana wangu mpendwa kapata Division 0(Point 35) anasema kafaulu! Nimepanga nimfanyie sherehe!

Wakuu kwema kijana wangu Mpendwa Kapata Division 0 ya 35 point anasema kafaulu ,

Anasema kapata point 35 ambazo ni nyingi sana na tabu kuzifikia kwa wengine!

Hapa nimepanga nimfanyie sherehe ya kumpongeza

Asanteni sawa
Hongera Sana amepata marks zinazomuwezesha kuchaguliwa kuwa MKUU wa MKOA kama BASHITE.
 
yale yale ya Bukoba.

baba alijitambua ukubwani kuwa jina lake ni Gafire (mfu) akawa anadharaulika katika jamii yake. alipozaa kijana wa kwanza akataka 'kuisukumia ndani' laana ya majina; hivyo akampachika kijana jina la MAGEZI (akili). akajinaaibu kuwa amekuwa mjanja.

sasa kituko kikaja kwenye sentensi inayotokana na muungano wa jina la mtoto na surname: MAGEZI GAFIRE (akili mfu)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom