Recent content by Sosthenes Manumbu

  1. Sosthenes Manumbu

    Biashara ya kuuza gesi za kupikia

    Samahani mkuu, nimevutiwa sana na hii biashara hivyo nikavutiwa kuuliza baadhi ya maswali. 1. Tin na leseni lazima viwe vya biashara ya gas au biashara yeyote tu uliyonayo mtu?. 2. Kwa sasa ni muda toka Uzi huu uwe posted na nimeona siku hz kuna gas zingine kama lake, vp mzunguko wake mtaani...
  2. Sosthenes Manumbu

    Noah field tourer

    Habari zenu wadau?, Ninaomba uzoefu wa Noah field tourer, uzuri na ubaya wake ikiwa nahitaji kuinunua kwa matumizi binafsi. Ahsanteni sana na nategemea mengi toka kwenu
  3. Sosthenes Manumbu

    Menu mpya ya kifurushi cha boom pack TTCL

    Vp nikihitaji kuangalia Salio la vifurushi cha data cha chuo kwa ttcl
  4. Sosthenes Manumbu

    Naomba kufahamu machache kuhusu bodi ya Ugavi

    Habari zenu members wa jukwaa hili?, Naomba kupata ufahamu kidogo kuhusiana na mambo kadhaa kwenye bodi hii ya wataalamu wa ugavi na manunuzi (PSPTB) 1. Mtu anaweza kujiunga na kufanya mitihani ya board akiwa angali mwanafunzi wa level fulani mf Diploma au degree ya ugavi na manunuzi ktk chuo...
  5. Sosthenes Manumbu

    Kwanini Waadventista Wasabato hamuipendi historia yenu halisi kabla ya 1863

    WASABATO NI KINA NANI? Nimeona vyema leo tuchambue kwa ndani juu ya watu wanaoitwa wasabato. Wasabato ni watu ambao wanaheshimu na kuadhimisha siku ya sabato, jina lao linatokana na msisitozo wanaouweka kwenye kuiheshimu siku ya sabato. Pengine utauliza siku ya sabato ndo siku gani? Mbona...
  6. Sosthenes Manumbu

    NAUZA: Water-Pump na pipes zake, kwa bei chee! (used)

    Nicheck kwa hii namba 0717830524 ili tuongee
  7. Sosthenes Manumbu

    Walichokosea Balton na Watengezaji wengine wa Green house kwa maeneo ya pwani/Dsm

    Somo zuri, vp kwa wale wanaoadapt technology ya Israel kwa kwenda huko na kupata elimu hyo? GH zenu zina tofauti gan na zile za Israel
  8. Sosthenes Manumbu

    Mkutano wa UWT-Dodoma: Mama Anna Mghwira ahamia rasmi Chama cha Mapinduzi(CCM)

    Unafiki hauwezi kuisha, Ila ukiangalia kwa jicho la mbali 1. hawa wanohamia CCM ikipoteza tena mwelekeo watahtaji kurudi tena upinzani? 2. Hv mtu hauwezi kutoa ushirikiano kwa kiongozi Mkuu ukiwa ktk chama chako ilihali hauvunji sheria za nchi?
  9. Sosthenes Manumbu

    Vitabu

    Vitabu madhubuti na makini sana kwa ajili ya matengenezo ya afya yako, afya mkeo na afya ya Mtoto tangu akiwa tumbon mpaka anazaliwa, kwa bei nzuri. Tupo dar Es salaam, Dodoma, mwanza, Arusha na moshi. Call 0752773756/0716733927
  10. Sosthenes Manumbu

    Offer:Router na offer ya 30 gb @10 gb each for 3 months

    Baada ya hapo utanunua bundle kwa sh ngap?
  11. Sosthenes Manumbu

    Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

    Ninakushukuru sana kwa elimu hii ambayo imenipanua uelewa zaidi kutoka pale mahala nilipokuwa hadi mahala fulani hiv pazuri zaidi. Barikiwa pia na Allah Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Sosthenes Manumbu

    Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

    Na tukija kwenye multitasking kati ya Core i3 na core i5 ipi bora kuliko nyenzake? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom