Menu mpya ya kifurushi cha boom pack TTCL

Menu mpya ya kifurushi cha boom pack TTCL

Habari zenu ndugu Watanzania...ninapenda kuwatangazia mabadiliko katika menu ya kifurushi cha chuo yaani Boom pack (TTCL).
Awali huduma hii ilikua inapatikana *148*30# kisha unachagua 9.Boom pack lakini sasa utaipata *148*30*35# ili kuepusha usumbufu au wingi wa hatua za kuunga kifurushi.
Endelea kufurahia mtandao wenye kasi zaidi Tanzania.
Rudi nyumbani kumenoga
Vp nikihitaji kuangalia Salio la vifurushi cha data cha chuo kwa ttcl
 
Back
Top Bottom